Tuta sema ukweli hata kama ni mchungu.
Huyu Ndugai anayedai kuwa anajua maana ya kufundwa mbona wakati wa kampeni za 2015 alimpiga fimbo ya kichwani mgombea mwenza hadi akazimia na kulazwa hospitali.
Kitendo hicho cha kishenzi kilitosha kumnyima nafasi ya kuwa spika.
Ndugai lazima afahamu...
Pascal, kwako kuna mambo mawili inawezekana kweli ukawa umeunga jitihada mkono au imekuwa ukiipiga CCM fimbo kwa kupitia mgongoni wenye akili wamesha kugundua.
Huyu mayala Ni hovyo kabisa, daima anataka mtizamo wake ndo ueleweke na kukubalika utadhani ana akili nyingi kuliko wengine akikuona unakinzana naye ana ku report kwa moderater ili ufungiwe kutoa comments zako. Mi Kisha nifanyia hivyo, hafai kabisa Kama njaa.
Kwa sababu Watanzania wana kiu ya maendeleo ni vema Kama CCM wangechukuwa hizo nafasi ili kusiwe na watu wa kupinga hoja zao mjengoni. Maendeleo huletwa na chama kimoja sio vyama vingi.
Ndugu Wana bodi kitendo Cha serikali ya CCM kuanza kulipa madeni ya wafanyakazi na kuwapandisha madaraja inadhihirisha wazi kuwa huu Ni ukiukwaji wa maadili na kanuni za uchaguzi mkuu.
Nawakumbusha wafanyakazi wote kuwa hizi ni dharau kubwa Sana kwa miaka mitano mmesoteshwa halafu leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.