Recent content by McMuga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari kama kweli ni wazalendo tupeni mbadala na sisi walala hoi

    Mbona simple hilo!,na nyie andamaneni kwenda ikulu,hapo serikali italegea. Sio unakaa unalalamika tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    "church heathen" by Shaggy.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    Wewe nape mbwa!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    mimi nadhani jf tuanze ku-join kwa njia ya interview,maana humu kuna members wana mtindio wa ubongo,thread gani sasa hii.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

    Ndiyo maana madokta wameamka kutaka usawa lakin majority ya watanzania hawajielewi! .all the best DOCTORS STRIKE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

    Go go go doctors!,,mmeishika serikali dhaifu pabaya,wamezoe kujibu ujinga tu na kutegemea yataisha kama upepo upitao! ,SASA KAZENI KAMBA!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    Msijali tutakuja kwenye maandamano na bendera za CDM!,mwaka huu mtatujua peoplez power ni noma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gharika CCM: Viongozi na wanachama 1,005 wahamia CHADEMA Kagera

    Yani leo hii kama angekuwepo Mwl.Nyerere hakika naye angehamia CHADEMA.
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

    kweli huyu jamaa mjinga!,yani majitu mengine kama kichaa,sasa kaongea nini hapo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

    Jamani chonde chonde naomba viongoz wa chadema wajifikilie mara mbilimbili kuhusu kuungana na vyama vingine kwa hili,mim naona wasimame wenyewe peke yao,hivi vyama vingine hamna lolote
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto alipuka tena bungeni

    una uhakika na usemalo ndugu yangu,kama kweli anakula fedha za barick ajitokeze mtu mwenye uhakika na jambo ilo na amshutumu .NDIYO UWAJIBIKAJI KWA MANUFAA YA NCHI YETU.
Back
Top Bottom