Now it seems without 8ft dish you are in risk of loosing some tps, I have some disappearance of Disc***very Package on IS20 during the even, made fine tuning on 6ft dish the 4920u gives max signal 66%- Disc*** tps
Na mfano mzuri uko South pole antarctica kuna kambi maarufu sana pale ya wa marekani inaitwa McMurdo station, kama uwa unafuatilia research zinazofanyika uko utagundua kwamba uwa hakuna mchana wala usiku mda wote ni kama jioni.
Swali rahisi sana izo point ziko north pole and south pole. kwa mfano upepo uko unaweza kua almost at stand still ila unaposogea kuelekea equator speed yake ndo inapozid kuwa kubwa
Sina tofauti kubwa na mdau, sababu hakuna official concept iliochukuliwa kati ya izo mbili mpaka sasa, bado ni study inayofanyiwa uchunguzi.
Tunaweza kusema hakuna speed sawa kwa ushahidi tunaouona kwenye Ionospheric motion kwamba charged particles zilizojuu zaidi angani hazi shei mwendo sawa...
Nime edit jibu langu kama ukisoma tena utaona, upepo tunaouzungumzia ni high altitude wind kwaio unafanya push effect kwenye ndege na athari yake ndo kama io kuwahi kufika mapema west-east na kuchelewa kufika east-west. Io issue ya earth spin ina concept ngumu ngumu kama za Quantum physics ila...
Io inaitwa Jet Stream na inafanya kazi kinyume cha ulivouliza ni west-east, kuna mawili apo yanatokea jet stream au global winds hususani upepo huu unaovuma kutoka west kwenda east unasaidia kuisukuma ndege katika muelekeo huo huo, cha pili ni earth spin, ndege pia zinaathiriwa na huu mzunguko...
The spinning and orbital speeds of Earth stay the same so we do not feel any acceleration or deceleration. You can only feel motion if your speed changes
Kama sisimizi hajielewi, jaribu hii
Unapokuwa kwenye gari inayoenda kwa speed ile ile na mkononi umeshika kikombe cha chai, chai haitomwagika kama gari haito ongeza mwendo (Accelerate) au kupunguza mwendo (Decelerate) na endapo ikifanya moja kati ya hayo basichai yako itamwagika
Izo ni live Feed from Nasa Jet Propulsion laboratory in real time, nimeshindwa kuzishika ka video bado najaribu, ISS, Suomi NPP na dunia vyote viko kwenye motion, ntaongeza nyama nikizinasa vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.