Recent content by McMahoon

  1. McMahoon

    Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password kwa kutumia kompyuta

    Jifunze ufundi simu upande wa software. Tazama video hii https://m.youtube.com/watch?v=5UhJ-7jsPRg
  2. McMahoon

    Msaada naomba kitabu hiki

    Unaweza kupakua hapa. Hiki ni cha lugha ya Kiswahili https://fahusvera.blogspot.com/2025/05/jifunze-ufundi-simu-software-kitabu.html
  3. McMahoon

    Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Kama ni mtu wa biashara, status ni sehemu nzuri sana kujitangaza. Hata facebook ni sehemu nzuri sana kutangazia biashara zako
  4. McMahoon

    Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani

    Mfano. Mtu akifunga profile yake huwezi kumu-ignore. Waweke feature hata km mtu amefunga profile uweze kumu-ignore
  5. McMahoon

    Msaada namna ya ku-unlock forgotten pattern OPPO F1s China Version

    https://m.youtube.com/watch?v=5UhJ-7jsPRg
  6. McMahoon

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    https://m.youtube.com/watch?v=5UhJ-7jsPRg
  7. McMahoon

    Nahitaji kufahamu machache ya ufundi simu

    Pakua sasa kitabu cha ufundi simu software Kwa kutumia kitabu hiki, utaweza Kuflash simu na tablet aina zote kama Nokia, Samsung, iPhone, Itel, Tecno, Infinix, Nexus, HTC, Google Pixel, LG, Xiaomi, Blackberry n.k Utaweza kurepair IMEI Remove Network Lock Backup firmware Kutoa Password, PIN...
  8. McMahoon

    Wataalam, Msaada Tafadhali

    Sijasema wanatoa code. Nimesema wanatoa hiyo huduma. Jamaa wanatumia team viewer. Mm sina solution yake, ndiyo napambana nitengeneze
  9. McMahoon

    Wataalam, Msaada Tafadhali

    Hiyo ni router inayohitaji 16 digits nck code. Ingia Youtube, kuna jamaa wawili wanatoa hiyo huduma.
  10. McMahoon

    Msaada Naomba Data recovery

    https://m.youtube.com/watch?v=WQ5XecljcIo
  11. McMahoon

    Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Ambao mnataka kitabu ingia kwenye blog ya fahusvera (ingia Google andika Fahusvera) kisha bonyeza Books. Utakiona
  12. McMahoon

    Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    https://fahusvera.blogspot.com/2025/01/jinsi-ya-kuunlock-zlt-m30-airtel-itumie.html?m=1
  13. McMahoon

    Mbabe wa simu: Jinsi ya ku lock Nokia

    Security Code weka 1234
  14. McMahoon

    Blackberry unlock code any one to help me

    To get nck code for your Blackberrry. Visit https://fahusvera.blogspot.com/search?q=Blackberry&m=1
  15. McMahoon

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kutokana na vifurushi kubadilika tafuta router ambayo ni univesal au ambayo inaweza kuwa unlocked na ukatumia mitandayo yote. Fikiria leo umenunua Airtel, kesho utataka kununua Tigo, Halotel au Voda. Umeenda nje ya nchi au kijijini ambako airtel haikamatiki wala tigo bali ni voda tu utalazimika...
Back
Top Bottom