Dk Netho Ndilito ameongoza kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kumpata mgombea ubunge wa jimbo la Chamwino, akipata kura 2,401 kati ya kura 6,172 zilizopigwa jana, Jumamosi, Oktoba 3, 2026.
Dk Ndilito amemzidi mpinzani wake wa karibu, Dk Kedmon Mapana, aliyepata kura 1,927, huku...