Recent content by Mchungaji Mlelwa

  1. M

    Hivi ndo Malawi kweli itakayoshiriki kwenye Intervention Brigade?

    You seem to be stupidous. Can you show anywhere in this planet where two counries have a lake at their border and only one country takes the whole lake? You may have many words but the truth will stand. You might some people behind you as it was during Kamuzu Banda. Tanzania will always...
  2. M

    Kuna tofauti gani kati ya "Operation Sangara" na "M4C"

    Tofauti ya Operation Sangara na M4C ni sawa na tofauti ya Kilimo ni uti wa mgongo na Kilimo kwanza
  3. M

    Hofu yangu juu ya yaliyosemwa na mh.Ibrahim Sanya mb(CUF)-Mji Mkongwe

    Kweli huyo ni "Sanya." Hawa jamaa hata aibu hawana. Inasemekana ndio asili yao. Achana nao. Mtoto wa ...... ni ..........
  4. M

    Miezi 6 ya Mangula kuwang'oa mafisadi CCM yayeyuka, adaiwa kukata tamaa!

    Sijajua kama ccm inaweza kusafishika. Sijajua kama wana-material ya kufanyia kazi hiyo ya kukisafisha chama. Mangula alikuwa na nia ya dhati. Shida alianza kama eti haijui ccm na kwamba shida imeanzia kwa mihimili yenyewe ya chama. Kusafishika kwa ccm ni kwanza kukaa pembeni ili ianze upya...
  5. M

    "Mimi ni gamba, tena nene"

    Hoja imefika kwa mwenye kujua hoja. Hoja ni kali mno, ilihitaji kupakwa mafuta kidogo ili wenye ngozi laini waweze kugusa. Vinginevyo hoja imefika, ingawa inauma kama sindano PPF.
  6. M

    "Mimi ni gamba, tena nene"

    Mi nadhani huyu ana akili sana. Sema labda kujua kuwa ana akili nako kunahitajili akili. HAPO HPJA YAKO ITAKUWA SAHIHI.
  7. M

    Nassari aisifia serikali

    Alikuwa sahihi sana kusema hivyo. Hiyo ndiyo siasa inayotakiwa kusema jambo sahihi, mahali sahihi kwa muda mwafaka. Hilo halina uhusiano kabisa na mambo ya bungeni. Ikumbukwe hata bungeni kuna mambo ambayo wapinzani wanakubaliana kabisa na serikali au na wabunge wa chama tawala. Kuwalaumu...
  8. M

    Ruzuku kwa mwezi: CCM milioni 800/-, Chadema 200/-, CUF 117/-

    Safi. Inquisitveness is important. Well and good. Hta hivyo, jambo moja tu ambalo ningependa wanajamii forum tuwe nalo ni kufikiria sana juu ya utanzania wetu kabla ya kuandika mambo humu. Ni vema kuzungumza mambo ambayo ni ya maendeleo zaidi hata kama ni ya kisiasa. CDM ni chama ambacho...
  9. M

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    hiyo nimeipenda. Mhimili huu wa Judicial unaiweka nchi katika balance. Katika mihili yote ya Dola naona muhili imara at least ni huu na hasa katika mahakama za juu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
  10. M

    G. Lema: “Serikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol”

    Natambua kuwa huu ni wakati mgumu sana. Natambua kuwa watu wengi wanajiuliza lakini hawana majibu. Natambua kuwa Kanisa linajishangaa limefikishwaje hapo. Natambua kuwa kile tulichokishikilia kwa miaka yote - yani amani na utulivu, sasa kuna mdudu anataabika kukiondoa kitu hiki. Natambua...
  11. M

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Haichafuliki wakati imeshafuka. Unautani katika kazi.
  12. M

    CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    Sijaelewa chochote. Maelezo yaonyesha kazi kubwa na ya maana inayofanywa na CDM na ushauri unataka CDM ifutwe. Sijui!!!! Kweli mfamaji hujishika hata kwenye kaunyasi. However - is a message from the end to the biginning. Life - work - effect SM
  13. M

    Kuishabikia CHADEMA ni kutoijua CHADEMA

    Nadhani kama ungekuwa ni mtu mwenye fikra huru ungepaswa kuandika kwa kuangalia madhaifu ya CDM ambayo wengine pia wangeona una mawazo yanayotafutwa na wapenda nchi hii. Kwa mtazamo wangu unaandika kwa kuchafua chama hicho na siyo kuona madhaifu yaliyomo. Ni kweli mtu anaweza asikipende CDM na...
  14. M

    Sherehe za Muungano: Kikwete amkwepa Lowassa?

    Hata kuandika tu unashindwa - Mmbu!!! Kweli wewe sisiemu.
Back
Top Bottom