Recent content by Mchumia Rungu

  1. Mchumia Rungu

    PreGE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

    Kwahiyo wote tuungane na kuwa machawa? Tuimbe wimbo wao wa kuiba kura? Hiyo itakuwa akili gani?
  2. Mchumia Rungu

    Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

    Lakini yako mambo aliweza kuyasema. Tunaomfuatilia, hata angeuawa tungejua mwuuaji wake ni Mwendazake. Sema kwa level yake hawezi kuropoka kila kitu na kumwita mwongo wakati huonyeshi ukweli ni kumvunjia heshima
  3. Mchumia Rungu

    Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

    😂😂😂 Masikhara kumlinganisha Makamba na the late Lowassa. Ni Masikhara zaidi kugeuza CHADEMA dampo la hata wanasiasa wabovu.
  4. Mchumia Rungu

    Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

    Sasa kama Top mwenyewe anataka CHAWA nani wa kumbishia?
  5. Mchumia Rungu

    Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

    Kwa kuwa nchi yetu sasa hivi ni kokoro, acha yeyote kati yao awe.
  6. Mchumia Rungu

    Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Pof. Janabi yuko kazini katikati yao.
  7. Mchumia Rungu

    TANZIA Mwigizaji nguli wa Nollywood, Amaechi Muonagor afariki dunia kwa ugonjwa wa figo

    Kwanini mtu aende huko kwa kusingizia msiba. Msiba haupo? Au wa kwetu hawasitahili kwenda msibani?
  8. Mchumia Rungu

    Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

    Nimeishi Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, Mbeya, Njombe, Morogoro na kupita mikoa mingi ya nchi hii, mie japo si wa Morogoro, mkoa mzuri kwa mtu kuishi ni Morogoro. Maisha yangu yaliyobakia nitamalizia huko.
  9. Mchumia Rungu

    Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Wewe ni member wa hilo group la WhatsApp la Single Mothers? Vinginevyo naunga mkono hoja yako. Wanawake walioshindwa, wakiungana ni sumu kwa kilichowashinda kama wapo wanaweza. Ni sababu ya wivu wao.
  10. Mchumia Rungu

    Rais Samia tupia jicho kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, Mbezi

    Ni kwa vile wameshatuona watz tu wajinga. Wanatuibia kila kona hatulalamiki. Ukiingia stand kama hotelini, huduma ya Choo ilitakiwa iwe inahesabiwa katika kiingilio chako. Lakini wapi!
  11. Mchumia Rungu

    Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Ukiwa sehemu ya Qnet, unapaswa ufanye kazi sana ili upate na wenzako wapate. Hapo short cut inatoka wapi?
  12. Mchumia Rungu

    Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Ningekuwa wewe ningeenda kuona na au kupiga picha ili kukamilisha story[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Mchumia Rungu

    Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Nimeiona Twitter, haifai kuiangalia. Ni kinyaa tupu.
  14. Mchumia Rungu

    LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

    Uko sahihi. Hata hizi Daladala, kuna sehemu Daladala tayari nauli zilikuwa juu kuliko hizi zonazotangazwa. Hivyo sasa nao wataongeza tena! Mfano nauli ya Moro - Mzumbe ya LATRA ilikuwa 750 wao walikuwa wanatoza 900 au 1000 na sasa ya LATRA ni 850. Ni kwa vyovyote vile itapanda sana. LATRA hapo...
  15. Mchumia Rungu

    Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Ogopa sana mtu anayeikana imani yake. Huwa wanahuweuka fulani hivi. Na huyo Mzee ni mfano tosha.
Back
Top Bottom