Recent content by mchoti tz

  1. M

    Niulize swali lolote kuhusu wanawake

    Kunakuwa na tatizo gani mwanamke wa miaka 25 alieolewa kuacha kuingia kwenye siku zake kwa miezi 4 au 3 na akipimwa anaambiwa hana ujauzito
  2. M

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    Binadamu kweli tunaupeo mfupi Sana hivi chato ikiwa mkoa ndiyo itakuwa ya kwanza kuwa mkoa? ebu jaribu kukumbuka tulipopata uhuru 61 tulikuwa na mikoa mingapi? na kwa sasa hivi ipo mingapi?
  3. M

    Vijiwe vya kahawa /draft /bodaboda /karata ni makao ya watu wa TISS

    Dah nimeupenda ushauri wako mkuu tatzo wtz tunaogopa mno kumbe ni wa2 wazuri namna hii
  4. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Samahani wakuu tunapokuwa tunaweka kero zetu tujaribu kuzifafanua yaani namaani tuwetunabainisha sehemu (wilaya& mikoa) ya kero inakotokea
  5. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Mkuu kungekuwa na uwezekano wa kupata no yako tungewasiliana
  6. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Mkuu taja na jina la pili na sehemu anakofanyia kazi(jina la mkoa&wilaya)
  7. M

    Umri sahihi wa mtoto kuota meno

    Naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu kuwa mtoto anatakiwa kuota meno hadi awena umri gani(miaka mingapi)
  8. M

    CHADEMA yameguka; wanachama 50 wahamia CCM Geita

    Chadema hawana jipya kila siku wanachama wao wanahama
  9. M

    Ulishindwa kuendeleza Chato miaka 20 uje uweze kuendeleza Tanzania miaka 5?

    Unapotaka kupost kitu jiulize kwanza kabla ya kuchukuwa maamuzi ni ushauri wangu kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Namna ya kumsaidia mkeo awahi kufika kileleni

    [emoji14] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

    Mkuu hapo umenena vyema nadhani mwenye akili ya kutambua mambo atakuwa amekuelewa vizuri hongera sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom