Recent content by Mchicha Makunyazi

  1. M

    Mabembea ya watoto yanapatikana wapi?

    Imported nimepata taarifa zake, haya Bujibuji nipe habari ya fabricated mkuu
  2. M

    Eneo linauzwa Bagamoyo

    Namba hiyo hapo kwa maulizo mkuu
  3. M

    Eneo linauzwa Bagamoyo

    ENEO LINAUZWA LIPO KIMALA NG'OMBE BAGAMOYO KM 4 KUTOKA BAHARINI, LINA UKUBWA MITA 22887 ZIMEPIMWA. MAJENGO 2, VYUMBA VIWILI VYA MADARASA, OFISI NA NYUMBA YA KULALA SEBULE NA JIKO. MITI YA MATUNDA NA MBAO, KISIMA CHA MAJI NA BWAWA DOGO. OFISI YA KATA, UMEME, HOSPITALI, NYUMBA ZA IBADA JIRANI...
  4. M

    Mabembea ya watoto yanapatikana wapi?

    Assalam alaykum Nahitaji kujua yanapaopatikana mabembea ya watoto kama.vile slides na mengine yanayofanana na hayo
  5. M

    Nahitaji karatasi za khakhi

    Habarini za kutwa wakuu. Nipo katika utafiti.Nahitaji kufanya Biashara ya mifuko ya khakhi. Tatizo langu ni kwamba, je ni wapi nitapata hiyo malighafi kwa hapa Dar? Natanguliza shukran
  6. M

    Job Opportunities at GML consultant. Marketing officer

    Marketing officer COMMISSION BASED - GML consultant. Not Fixed Salary, payment based on commission DAR ES SALAAM About the Company Company dealing with  HR Solutions  IT Solutions  Events Managements NATURE AND SCOPE OF WORK The key duties and...
  7. M

    Wapi nitapata materials za kutengeneza madaftari?

    Assalam alaykum viongozi Nahitaji kupata uelewa kuhusu biashara ya kutengeneza madaftari, counter books na yale ya kawaida. pls yeyote mwenye uelewa kuhusu biashara hii njoo unipe tips. Pia materials yake yanapopatikana. Namaanisha karatasi , covers zake na vitu kama hivyo. Ukweli ni kwamba...
  8. M

    Natamani Diamond awe miongoni mwa mabalozi wa kiswahili

    Assalam alaykum watanzania wenzangu Nimekuwa mfuatiliaji wa muziki. Kwangu muziki una thamani yake ya kipekee. Kwani naelewa wazi kuwa una nguvu kubwa sana katika kufikisha ujumbe. Ikiwa una ujumbe wako, uwe wa nia mbaya au nzuri unaweza kupenya na kufika kwa urahisi kama utamtumia msaanii wa...
  9. M

    Nawezaje kuwa wakala wa Premier Bet au Meridian nje ya Dar?

    Assalam alaykum Kiongozi Kama upo Dar, ofisi za hawa jamaa zipo mtaa wa Sukuma na Sikukuu, karibu na Soko la Kariakoo Au njoo hadi Petrol station ya Big Born, Nyoosha na barabara inayoenda mnazi mmoja, utapita mitaa kama mitatu hivi kama sikosei. Unatakiwa kwenda na Doc, ambazo ni barua yako ya...
  10. M

    Nawezaje kuwa wakala wa Premier Bet au Meridian nje ya Dar?

    Me ni Wakala wa Premier Betting nitakupa step zote za kufuata ili kuwa wakala , haya upo wapi kwanza ? Dar au?
  11. M

    Mambo ya kuzingatia katika kuanzisha kidogo

    Assalam alaykum viongozi. Hope mko vizuri na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa. Hizi kelele za kuelekea uchumi wa viwanda, tumezielewa vizuri tu, sasa kinachonipa maswali ni hatua zipi napaswa ili kufikia huko kwenye kiwanda kidogo. Nahitaji msaada wenu wakuu hasa nyie...
Back
Top Bottom