Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

Kiswahili chako ni cha ndani sana... kuna neno hapa Uraibu.... biashara zenye Uraibu... nimeshindwa kuelewa ili niweze kusaidia...
 
ila mna weza anzisha blog... youtube channel... na biashara mtandao... kwa ajiri ya kuelimishana pia ikawa ni njia ya kuongeza kipato kwenu kipitia adsense (malipo kutokana na matangazo)

mtapata pesa ambayo itasaidia kujikuza zaidi kupitia kikundi chenu kwa kwenda mbali zaidi mna weza tumia baadae channel yenu ya Vicoba kuendelea kuwa elimisha wadau na kuvutia watu wengi zaidi kuja kuwekeza...

pia kuna mikopo inayo tolewa kwa wenye vicoba nenda kwa afisa maendeleo ya jamii wilaya atakusaidieni ktk hili lakini sharti kikundi chenu kiwe kime sajiriwa....

yapo mengi sana... una weza fanya na ukafanikiwa au mkafanikiwa kama mtakuwa na uthubutu, msikubali kurudishwa nyuma hata kidogo, na kukata tamaa ni mwiko hata vitabu vya dini vina elezea jambo hilo....

pambaneni mpaka mwisho, mwanzo mgumu lakini mwanzo huo huo ndio utakao weka historia ktk safari yenu ya mafanikio
 
Hapo jiunge na mbet kwa hiyo hela ukitandaza mikeka ya jerojero inakua kama mia moja hivi baadae chungulia ukifeli sana utapata mikeka hata kumi kama ulitupia odds za maana you will get millions within some hours
 
Mchicha Makunyazi,
Njoo nitafute, nipm nikuuzie glass protecta
Ntakuuzi za Samsung, tecno, iphone, HTC, Nokia na nyinginezo kwa 1000 each
Utauza 5000 hadi 10000 kwa kutembea maofisini
 
Hapo jiunge na mbet kwa hiyo hela ukitandaza mikeka ya jerojero inakua kama mia moja hivi baadae chungulia ukifeli sana utapata mikeka hata kumi kama ulitupia odds za maana you will get millions within some hours
Hahahahahahah
 
Furusa nyingi huwa naziona ila tatizo mimi nimwoga sana.
Moja naogopa kupoteza mtaji wangu endapo kile kitu nilicho kianzisha kitashindikana kuuzika.
Pili naogopa kuwa watu watanionaje.
Roho ya ujasili hupatikanaje jamani
 
Si nasikia wakuu wa nchi wameikataza
Imekatazwa hiyo biashara na ukikamatwa balaa lake si mchezoooo.
Lakini hyo biashara kiukweli inalipa sanaaaa.

Kusafirisha mikaa kutoka sehemu A mpaka B safirisha mida ya jioni. Ila usizoeeee
 
Back
Top Bottom