Kwa hali ilivyo huko Goba nahisi sumtra kazi imewashinda. Hali ya usafiri inahatarisha Afya na Usalama wa Raia
Haswa kwa majira ya Asubuhi na jion, usafiri ni karaha. Hi imesababishwa na mpangilio mbovu wa Route za Magari. Yaani gari zote zinaanzia mbezi zikiwa zimejaa, abiria wa njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.