Recent content by MchelewajiSugu

  1. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi 37 tumefeli CBE-Dar, Chuo kinalazimisha turudie mwaka wakati ni kosa lao

    Darasa lenu lilikuwa na wanafunzi 37 tu?
  2. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Wanyonya uchi

    Kwani kazi ya mdomo ni nin?
  3. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: Hivi wanaoitwa usalama wa taifa ni kweli ni usalama wa taifa , au ni usalama wa wanasiasa?

    Hicho kikundi inatakiwa kibadilishwe jina.
  4. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Wakatoliki wameingiaje hapa ndugu mwandishi?
  5. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Hii kete walioisukuma CCM ni kama inataka kufanikiwa

    Jamaa uwa wanafikiri kila anayeibua hoja ni chadema. Uvccm ni janga la Taifa.
  6. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

    Zamani nikuwa naamini matatizo yetu yanasababishwa na wazungu. Saivi naelewa wazungu wanatumika tu kama kichaka cha watu waliofeli kujifichia. Wakileta hela tunawita wahisani. Tukishindwa kutatua changamoto zetu tunawasingizia wao, wakati huu tukiwaita mabeberu. Upumbavu wa viongozi wetu ndicho...
  7. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Jinsi wasanii wanvyotumika kuzima upepo wa siasa nchini hivi sasa

    Oct. 29 watu wamekufa, siku ya uhuru watu tumefungiwa ndani, Dar es salam jiji kubwa la kibiashara lanye wakazi zaidi ya milioni 7 halina maji, aliyewahi kuwa waziri wa serikali ya JMT Ndg. Mwambe katekwa, waziri wa afya aliye achia kiti hivi majuzi, Jeni, amefariki kifo cha mauza uza etc...
  8. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa mila Serengeti watishia kulaani vijana watakaoandamana

    Nchi haipati mvua halafu upo unajiita mzee wa kimila?!
  9. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    Bunge liwe huru Mahakama iwe huru Tume ya uchaguzi iwe huru Katiba ibadilishwe . . .
  10. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
  11. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

    Wanatamani huu wimbo waupige marufuku.
  12. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Yule jamaa ni Zero IQ
Back
Top Bottom