Ni kweli kiongozi ila tusibase sana kwenye secta moja tu tupeane Update hata kwenye ishu za Madini tujuwe chimbo wapi na niaina gani ya Madini inapatikana natanguliza shukrani wale wadau waje watujuze
Wadau uzi umekuwa wakunivutia na mimi nahitaji connection za wapi kwenye Minada ya Ng'ombe kwa mikoa kama Vile Dodoma,Morogoro,Pwani au Tanga kwa kuanzia tupeane Update
Kingozi naona unatoa somo zuri la ujasiriamali na mimi nataka niingie kwenye uwo ufugaj. Changamoto zangu kubwa ni aina ya mbegu bora ya vifaranga vya kuku wa mayai na kampuni gani zinatowa Vinatowa mbegu bora
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.