Recent content by MCHARANGO JM

  1. MCHARANGO JM

    Tujuzane hili waungwana kwa anayefahamu

    basi wacha tusubiri wenda yupo mwenye uelewa anaweza tujuza
  2. MCHARANGO JM

    Tujuzane hili waungwana kwa anayefahamu

    Wanajukwaa naomba tujuzane ili kwa anayefahamu kuna izi PC sina akika kama ni za kisasa au vipi Zenyewe ni za chrome. yaan kama ni hp basi HP chrome au lenovo chrome. Inasemekana ukitaka kufanya window installation ni lazima ufanye ukiwa online na hata designer ya window yake ni tofauti na...
  3. MCHARANGO JM

    Jinsi ya kuandika muhtasari wa kikao cha familia cha kifo

    nimekuwa nikitafutwa na wengi na nimefanikiwa kuwasaidia maana nina sample za muhtasari zote za mahakamani na rita kwa wanaofutilia mirathi wakae wakijua mahakama itahitaji muhutasari za vikao vya familia zisizopungua tatu zote zikiwa na mahudhui tofauti hivyo basi kwa vile nimewahi kufanya...
  4. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    inshu ya simu kupata moto wasubir Ma-experts watakuja na majibu
  5. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    Mi nafikiri inshu ya bando kukatwa sana uwa kunategemea network speed nachokifahamu na uwa naki-observe speed ya mtandao ikiwa kubwa na rate ya bando per second uwa kubwa mi uwa nadownlod sana movie asa wakat wa usiku network speed inafikaga 2 MB per second ten uwa inafika adi 2 point something...
  6. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    nafikir yawezekana ikawa hv maana imejaribiwa na watu wengi kuiunganisha lakin sijafanikiwa
  7. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    hapa kiongozi nipatie namba yako den kesho nitakucheki unipe maelezo ya kina
  8. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    yaan hapa kweny task bar kuna iki ki-icon cha kuconnect na internet ambacho nikikifinya kinanipa option mbil ya hii moderm nayoitumiaga na na broadband connection ambayo nais ndo hii ya njia ya USB
  9. MCHARANGO JM

    Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

    sio kwamba nimekonect no yaan nahitaji kufahamu namna ya kunect maana uwa natumia either moderm au kuunga moja kwa moja kwa USB tethering
Back
Top Bottom