Suala linalofuata hapo ni kwamba mlalamikaji, ambaye ni mwanamke anaweza kwenda mahakama ya mwanzo kupinga maamuzi ya baraza kwa 7bu limeamua mambo yaliyo nje ya mamlaka yake kisheria..
Polisi wanaendelea na mahojiano na huyo mtuhumiwa, lakini hata kama itaonekana kuna kesi basi itakuwa si kesi ya mauaji ya kukusudia, yaani "murder case" bali itakuwa ni kesi ya mauaji ya bila kukusudia ,aani "Manslaughter" kwa sababu mtuhumiwa hakuwa na kusudio la kumuua marehemu (evil intent/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.