Recent content by mchana mwema

  1. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Mbona kwarezma watu wanafunga na wala hawawakatazi wengine kula?

    "UDINI" ni ruhusa kutoka kwa nani mpaka mtu asile kwaajili ya dini isyo mhusu?
  2. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Kumbe lile daraja pale Kindondoni linaitwa Selander Bridge?

    dalaja la salender au selander..hoja ni hyo achen propa.
  3. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    "MAMA ANAUPIGA MWINGI"
  4. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

    huyo member mtiifu anafanya vitu vya kikorofi mbona..? mbaaafu kabisa.,Alafu mambo kumuanika x wako bila code huo nao ni u kolo.
  5. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

    kwani hifadhi ya taifa manyara wanaruhusiwa kuishi watu.?
  6. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Huyu Kuhani aelimishwe maana ya neno 'peleka moto', inaleta taharuki kama sio ukakasi.

    usijali mkuu, shetani ata kama akisusa we mpelekee motooo., peleka moto × 100.
  7. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Kwanini freemason walimuua Kanumba? Shtukeni hao ni manabii wa freemason sio wa ukweli

    Kukosa hela ni changamoto wakuu...sijawahi kuona tajiri anaomba kanisani mpaka mate yanamluka..ila maskini wana maombi mengi tena yaliyojaa malalamiko tu.,mtu mwenye hela zake hawezi kuwa confused na vitu kama ivi.
  8. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Mungu hakuwa na mpango wa kuwa na binadamu zaidi ya Eva na Adam

    umesema walikuwa adam na eva tu..ivi kaini alienda kumuoa nan kule nchi ya nodi,? dunian walbak watatu tu baada ya habili kufa, yaan walbak adam,eva na kain kabla watoto wengne kuzaliwa. kaini alpata wapi mke?
  9. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Sina pesa, Sina gari serikali haiulizi, siku nikiwa na magari na pesa nyingi serikali isinifuatilie vile vile!

    Ng'ombe wa maskini hazai, akizaa lazma aulizwe....but now watuelewe wawe wanaulza mapema kwann haizai.
  10. mchana mwema

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dini ya Kikristo inaongoza kwa kuchezewa sana na watu?

    kwani ukristo ni nini?
Back
Top Bottom