Mkuu leo ni Christmas ujuwe, kunawakati hii jamii inaingiliwa na wachovi hadi naamuwa kupotezea tu. Crucial knowledge is very important and mostly needed to resolve issues that matter to everyday people’s lives, however you seem to be confusing between war crimes and Genocide, may be this...
Hahhaha MALCOM LUMUMBA merry Christmas na kheri y’a mwaka mpya ndugu yangu, nashangaa ukanjenje wako bado uko palepale! You always come across as an educated chap but with full of bile unfortunately! Why? Acha uzushi, siku ya unyenyekevu leo! Kwanza kabisa tukubaliane, btw how many times do I...
Malcom Lumumba Marehemu Baba wa Taifa mwalimu Kambarage Nyerere asingeshinda leo hii we ungekuwepo hai? au maybe mngekuwa mnaitwa waganda? who knows🤷♂️
hii mada imejaa ujinga mtupu, wivu, chuki, visasi, na kutojitambua.
What if Baba wa Taifa asingekukomboa kutoka kwenye unyampala wa mkoloni...
Dutch agencies provide crucial intel about Russia's interference in US-elections - Tech - Voor nieuws, achtergronden en columns
Hackers from the Dutch intelligence service AIVD have provided the FBI with crucial information about Russian interference with the American elections. For years...
June 25, 2017 at 11:59 pm
By Dan Ngabonziza
Jean Marie Vianney Ndagijimana Former Foreign Minister of Rwanda
For two years, government soldiers were not paid. The vice president at the time, Gen Paul Kagame “borrowed a suit” to attend a function. The budget of the country was Rwf 56billion...
nipo mkuu! kazi zimekuwa nyingi... tunajenga taifa ambalo tunaimani litakuwa funzo kwa dunia, kwamba nasi waafrika tukijituma twaweza! mkabila jMali nae naona chali! kesha choka na kelele zake... kakosa kabisa gear zakuingilia JF! mambo kama haya yanaumiza roho mkuu! hebu msikilize Mheshimiwa...
hahahahhaa! sasa we shida yako nini? cha muhimu ni kutupigia magoti au kuweka hadharani na kumuomba Mungu wake msamaha kwa jinsi Kanisa, viongozi na nyie wafuasi mlivyo chemsha Rwanda? hebu tumia akili jMali
Lol! thread gani? church as an institution inamaana mpya nisiyo ijuwa au? thread takatifu ndio hii hapa jMali http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2017/03/20/0169/00393.html
sasa wewe unaona imekaaje? nyie bana kazi kwelikweli
OMG! Abahezanguni ba Hutu-power ni noma! sasa hiyo tafsiri yenu ndio tuiiteje? alternative fact, apology or interpretation? hata usiende mbali hebu kwa akili zako naomba unitafsilie haka kakipande labda na mie nitafunguka macho...
By: Tom Ndahiro
Twenty years ago, a group of young people paid the ultimate price for rejecting the divisiveness of colonial divide and rule.
On the evening of 18th March 1997, around eight o’clock, in St. Joseph’s boarding secondary school in Nyange, Western Rwanda, students had just finished...
Interahamwe acha kelele zisizo na mshiko, tembea uone! unabahati kazi zimetubana ndio maana unakuja na hoja zisizo na kichwa wala miguu sasa hivi hapa nipo Hyderabad-India kishughuli jana nilikuwa counter mhudumu akaniambia hotel yote tuko watu 22 wakati inauwezo wa kulaza watu 268 nikashangaa...
je over stayers wakichina mnaizidi nini nchi yao? mbona wamejazana huko na hawataki kurudi kwao? nyie endeleeni kusinzia na kujifungia tu, tutakuja tuwasaidie kujenga nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.