Recent content by mchalemkali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

    Msumbufu..ila twende nae taratibu ataelewa baadae.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

    Unapenda kuwa mwanajeshi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

    Apewe kidogo akafuraishe kijiwe chake.Watamjuaje kama yeye ni mjuha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

    Wapo.Fatilia zaidi.Ingia YouTube.Angalia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Maafisa wa Jeshi monduli TMA

    Mbona umeshajibiwa wapo.Unataka kujua Nini zaidi ya hapo?!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Mkuu kwa nature ya kazi yao wako chini ya Waziri Mkuchika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    TISS inafanya kazi na Wizara zote.Bosi wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu wa JWTZ, George Mkuchika. Ukisoma vizuri utaelewa kama wewe ni mwerevu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

    Ninachojua kuwa CDF wa sasa ni komandoo na sio mtu wa mchezo mchezo.Ni mtu wa kazi ngumu. Hana blah blah.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

    Tena shikamoo kubwa sana kwake.. Cheo alichoruka ni kimoja tu ambacho ni Lieutenant General kwenda General. Vyeo vingine vyote kavitumikia kimajukumu na kwa weledi mkubwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

    Tuna CDF mwenye taaluma ya Komandoo.Yuko vyema maeneo yote.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

    Natoa angalizo kuwa turudie Ile elimu aliyotupa Mshana kuhusu Mdomo wa mwanamke na maumbile yake.Naona darasa alikukuelewa Mwalimu Mshana vizuri.😄😄
  13. M

    JamiiForums Tanzania Turekebishane: TISS ni Idara au Taasisi?

    Kepteni Mstaafu George Mkuchika,Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi Maalum. Hapo vipi mkurugwa?🖕🖕🖕🖕
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi Walilazimisha Mtu Mwema Yesu afe na mtu muovu Baraba aishi?

    Yesu alitundikwa kwenye mti akiwa uchi kabisa..yaani alikufa kifo cha mateso makali,aibu kubwa na dharau iliyopitiliza. Ndo maana wanaoamini jina lake na damu aliyomwaga kupitia kifo chake pale kwenye mti wa msalaba wanapata neema ya utakaso na pia uzima wa milele. Waliamiminio jina lake...
Back
Top Bottom