Recent content by mchakarikaji2016

  1. M

    Nakopesha kwa riba

    Kitu chochote chenye kuuzika
  2. M

    Nahitaji mkopo wa milioni 10

    Nakopesha mkopo wa muda mfupi kuanzia elfu 50,000...marejesho ni ndan ya mwez mmoja..na riba ni asilimia 10....karibuni
  3. M

    Nakopesha kwa riba

    Habari zenu.. Nakopesha pesa kwa riba. Riba ni asilimia 10 kwa mwezi. Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa. Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka. Dhamana ni lazima.
  4. M

    Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

    Nimesema kwa upande wa wahindi kwn ndipo wanapowalipa waafrika pesa ndogo kama ilivozoeleka..
  5. M

    Nahitaji mkopo wa milioni 10

    Watu hawalip madeni na wanapata hasara kwa hyo mikopo inaitwa non performing loan...pesa zimetoka ila hazirud..
  6. M

    Nahitaji mkopo wa milioni 10

    Kha sikushaur kukopa bayport hata tunakopesha ltd...kwann usingejiunga vicoba then baada ya miez kadhaa unakopa pesa kulingana na hisa ulizonunua..riba ni asilimia 5 kwa mwaka...kha uchum ulivokuwa mbovu si salama kukopa huko bayport wana riba kubwa sana...maana utakjwa unalipa mkopo bila faida yyte
  7. M

    Biashara ya boda boda

    Bro ninashida na ww nataka kufanya hyo biashara
  8. M

    Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

    Wee kuna makampun ya kihind makubwa watu wanalipwa had million moja take home...
  9. M

    Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

    Wana mishahara mibovu kuliko makampun yote ya simu ever...halaf wakitangazaga nafas za kaz lazma waweke na salary...kha et lak 4 gross hapo haijakatwa
  10. M

    Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    Dah kwanza utakopaje pesa ya kuanzia maisha ya kupanga na wakati unaweza kukaa home kwanza kwa wazaz halaf hyo pesa ufanyie biashara na ikikua ndio utoke hapo nyumban ukapange. Mimi ninafanya kazi sehem nzur tu na nina mwaka wa 2 tangia nimeanza kazi, na mshahara wangu ni mzur ila siwez kuhama...
  11. M

    Biashara ipi ni bomba kwa wanachuo

    inategemea na mtaji wake maana mpaka upate bodaboda ikamilike kila kitu ni si chini ya 2.3 mill
  12. M

    Ni pikipiki gani nzuri kwa biashara ya Bodaboda?

    kuna kijana namfahamu mara nyingi huwa ananibeba na pikipiki yake, aisee anaingiza pesa nying sana kuliko anaefanya kazi ofisin na hana makato ya mfanyakazi, nikaja kugundua kuwa ana nidham na kazi yake na anajenga uhusiano mzur na wateja wake kias kwamba mteja akishuka tu kwenye gari anamtafuta...
Back
Top Bottom