Kuroot bado ila natarajia kutumia mtdroid tool na sp flash tool maana scatter file na rom nzma tayar nnayo incase ika happen imezngua naiflash kwa hyo rom
Bro npe namba ako. Ishu ni kwamba hii cm tecno j5 chpset ake mpya. Kwene mtkdroid tool inashindwa kutengneza scatter file ambayo inatumika na sp flash tool kubackup rom ili nkaitumie kwene mtkdroid kutengneza cwm. Hii mt6580 wwng nmeona nao nkisearch google wanaitafuta wanakutana na tatzo kama...
Msaada mwenye scatter file ya mt6580 naitaj nitumie kwene sp flash tool naitaj kumake my cwm for my phone tecno j5 mpya coz inazngua kutengeneza scatter file kupitia mtk droid tool. Ntumie kwa mchaka98@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.