Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

Nimeona jina langu nimechaguliwa Civil engineering lakin mm kwenye kuchagua nilichagua computer engineering..

Vip inarekebishwaje hapo?
 
Mimi nimechaguliwa civil eng must vipi msuli wake je inalipa?
 
tulio chaguliwa must tujuane mm nmechaguliwa electrical eng
 
Usome sasa kuna watoto wa mama salma kila semester wanaletwa na macoster ma5 take care
nashukuru mkuu maneno yako ya hekima hakika ni lulu kwa sisi vijana tuanaolekea huko. naomba na wengine wapitie huu uzi ili waelimike na wajipange.
 
Kwa walio chaguliwa hapo namba zenu pls!!ili tuweze kupeana update
 
Back
Top Bottom