Recent content by Mchajikobez

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Mike Iron Tyson ulingoni Mwezi ujao

    Hapa ungeandika anarusha bashite au kolomije ingekuwa powa sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

    KARMA is always a bitch
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    Wewe utakuwa ulisikiliza kwa kutumia matako ukatafakari kwa kutumia pua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni Hospitali gani ya Umma (ya Serikali) hasa hasa Mkoani Dar es Salaam yenye Huduma Rafiki ya Kung'oa Meno?

    Kung'oa jino uhonge jee kuweka jino utafanya nini
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

    Embu kadanganye chekechea,sasa kama yeye alikuwa na simu tena yenye bando,ilikuwaje asiangalie hiko kitu kwenye simu yake hadi akaamua kuwasha hot spot ili aangalizie kwako,kwenda huko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Hata ukiweka mchanga itafanya hivyo hivyo,na ukitaka kujua watu wajinga soda ikiwa inagesi mnahangaika kuitoa,ikiwa haina gesi mnasema soda imeharibika
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Ukitaka kuamini uchawi upo ni pale unapomtaka demu fulani unahangaika kumuomba mtoke mnatoka anatumia hela yako yote ya vikoba mnaagana ndio unaanza kukumbuka kwamba kumbe hela imekata,huo ndio uchawi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Ufunguo una matumizi mawili kufungua na kufunga,ukiona unaelimu alafu haujafanikiwa kimaisha basi ujue uliitumia funguo yako kufungia maisha sio kufungulia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Wazungu ni mabeberu,lakini Ndugai akiumwa anaenda kutibiwa kwa wazungu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Magufuli ni mpango wa Mungu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijisumbue kuonyesha ufundi, kama hana amani ya moyo ni lazima uchapiwe tu

    Haa haa kitabu cha ghorofa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijisumbue kuonyesha ufundi, kama hana amani ya moyo ni lazima uchapiwe tu

    Hatukuletwa chini ya jua kuburudisha watu,kama hana hisia anagongwa alale
Back
Top Bottom