Recent content by Mchaga Tajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa Hati Miliki za Ardhi, hali ipoje huko kwenu?

    Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani. Wapo wananchi ambao wamemaliza kulipia viwanja vyao kwa takribani miaka minne sasa, lakini hadi sasa hawajapatiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni ubabe kwenye kupima afya zenu

    Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao. "Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Habari, Waandishi wa Habari kila mmoja atimize majukumu yake. Waandishi acheni kulazimisha kupewa hela kama haupo kwenye bajeti

    Mwandishi wa habari ana haki ya kukuchukua tukio lolote ni vile tu ukata wa maisha un
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Habari, Waandishi wa Habari kila mmoja atimize majukumu yake. Waandishi acheni kulazimisha kupewa hela kama haupo kwenye bajeti

    Kuna tabia ambayo imeshika kasi kwa baadhi ya maafisa habari binafsi na hata wa Serikali. Wanapoandaa matukio yao mara nyingi huwa wanavyombo vya habari ambavyo wamevialika, anapofika Mwandishi wa Habari ambaye hayuko kwenye orodha yao wengine huzuiwa kuchukua matukio Kwa kigezo kwamba hawako...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Bahi waiangukia Serikali kuwekewa matuta barabarani

    Wakazi wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwawekea matuta ya barabarani hasa kwenye njia panda ya kuingia Shule ya Msingi Bahi sokoni na mitaa ya Nkungugu na Kibaoni wilayani humo. Mwananchi mmoja wilayani humo anasema ndani ya siku 21 kwa nyakati tofauti watu wanne wamepata...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie ubora wa vipimo vya hospitali vinaweza kuleta shida kwa wagonjwa

    Sina majibu kamili lakini ni Jambo la kushangaza. Kuna Hali ambayo imekuwa ilijitokeza kwa baadhi hospitali zetu za Serikali na binafsi napata mkanganyo. Msichana mmoja alikuwa akiumwa sana, alipopelekwa moja ya hospitali aliambiwa kwamba hakuna anachoumwa zaidi ya kumpa Panadol tu. Hali yake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ulawiti kwa watoto wanachukuliwa hatua stahiki

    Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu. Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madereva bodaboda msipojali usalama wenu hakuna atakayewajali

    Mara kadhaa Serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa usalama barabarani wamekuwa wakihimiza madereva bodaboda kuvaa kofia ngumu (helmet) wawapo barabarani Ili kuwanusuru na ajali zinapotokea. Licha ya kuhimizwa baadhi ya madereva bodaboda Dodoma wamekuwa ni kama sikio la kufa lisililo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanaokatisha tiketi za kieletroniki waangaliwe

    Kumeibuka tabia ya baadhi ya wakatisha tiketi za kieletroniki kwa mabasi yaendayo mikoani kupokea pesa tofauti na ile inayokatwa kwenye tiketi. Kulingana na bei ya nauli za mabasi yaendayo mikoani iliyotolewa na SUMATRA mwezi Januari 2023 inaonesha kuwa kutoka Dodoma hadi mkoani Morogoro nauli...
Back
Top Bottom