Hadi mwezi wa Tano tutasikia mengi kweli..ila hii ingepingwa kwa ushahidi halisia kwa kuonyesha certificate of registration from Brela kuwa iko chini ya nani..otherewise maneno matupu na lisemwalo lipo...
Mkuu Pasco..hii account Akaunti ilifunguliwa na serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na IPTL..nadhani hapa hoja ni kwamba kama hii pesa ni mali ya umma ama siyo.. na hii Akaunti ya Tegeta escrow ilifunguliwa kutokana na kuwapo kutoelewana...
Mkuu Pasco..hii account Akaunti ilifunguliwa na serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na IPTL..nadhani hapa hoja ni kwamba kama hii pesa ni mali ya umma ama siyo.. na hii Akaunti ya ‘Tegeta escrow' ilifunguliwa kutokana na kuwapo...
Hii ni facts BOT kwa upande wao walikuwa hawana matatizo its like ile account ilikuwa chini ya uangalizi wa Tanesco and IPTL till matatizo yao wakishayamaliza..sasa kama wao ndio account yao si wana instruct bank tu iwalipe..otherwise kuna ukweli mwengine ambao uwe umebainishwa kwenye report ya...
Magufuri yuko vizuri kiutendaji..ila ingependeza huyu jamaa angekuwa waziri mkuu..angetoa hamsha hamsha kwa mawaziri wake watu wangetoa kuwa mawaziri mizigo..
One thing..hii pesa iliekwa kwa makubaliano ya Tanesco na IPTL till walisolve matatizo yao ama iliwekwa ikiwa chini ya uwangalizi wa mahakama? kingine how tanesco wali report kwenye vitabu vyao kuhusu hii pesa?..kwa maelezo ya governor hii account ilikuwa managed na IPTL and Tanesco and pande...
Mbona hapa kama umeweka list ya watu wenye vinyongo na wahusika bila evidence jinsi gani wamehusika kwa kumchafua..like sema how much kafulila amelipwa which account pesa iliingia huko..likewise kwa hao vijana wa CCM weka ushahidi wa malipo yao
naona kama its more of the politics as well na...
Before nlikuwa najua kama scenario ndio hii but after all the issue yakina Tibaijuka kusema wamewekewa pesa with no reason from BOT na ilikuwa inahusu mshiko wa IPTL that imeleta a lot of questions
Ninavyo fahamu mimi ni kwamba National Audit huwa wanafanya Quality review tu..ila issue ya kukagua mahesabu huwa wanawapa tender external firms kufanya ukaguzi then ndio office ya CAG watapokea reports from independent firm..from there watafanya general conclusion bt kama wataona hawaridhika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.