Sifikilii kama alicho fanya makonda nikibaya nyinyi unae sema gorofa ooooh alienda marekani pesa katoa wapi haya yote mmeyakumbuka baada ya yeye kutaja wauza Dawa za kulevyo?
Nikweli ipo hivyo lkn umeangalia na upande wapili? Mana nimegundua kitu kimoja mwanamke akiwa kimada anaheshima sana kuliko Ukisha muoa anakuwa nadhalau kwakua ameshapata ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.