Swali la Uelewa: Kwanini rais anakaa kiti cha nyuma akiwa kwenye msafara

kanonb

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
391
328
Habari wana jamvi poleni kwa shughuli nyingi za hapa na pale ningependa kuuliza swali hivi kwanini Rais hukaa kiti cha nyuma kwenye gari wakati anapokuwa kwenye msafara
 
Sababu za kiusalama ndizo zinapelekea Rais kukaa kiti cha nyuma
 
Habari wana jamvi poleni kwa shughuli nyingi za hapa na pale ningependa kuuliza swali hivi kwanini Rais hukaa kiti cha nyuma kwenye gari wakati anapokuwa kwenye msafara
Swali la kitoto sana, angekuwa anakaa mbele napo ungeuliza kwa nini anakaa mbele. Kwanini umeuliza hivyo?
 
Raisi si jambo la mchezo tu kila kitu anachikifanya au anachofanyiwa huwa kina maana kubwa sana hawafanyi jambo kwa kubaatisha tu sitting everywhere eating anything lazima ina maana fulani
 
Back
Top Bottom