Recent content by mchadema

  1. mchadema

    JamiiForums Tanzania Makala Raia Mwema: UKAWA tutarejesha heshima ya Tanzania kimataifa

    Safi sana
  2. mchadema

    JamiiForums Tanzania M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Ila bora tu hajafa ili aone lowasa anavyoapishwa kwa shangwe oct 15
  3. mchadema

    JamiiForums Tanzania M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Yani ni kwasababu alikuwa anavuja damu sana skupiga picha ila ni kweli bana ndo huyo alimkashifu Sana lowasa
  4. mchadema

    JamiiForums Tanzania M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Kweli bana tena nmemsaidia kumchomoa kwny gari gari yake imegonga scania hapa Eneo la mile moja kibaha nliona kibendera cha ccm kimedondoka nkajua tu huyu Ni wale wale damu ya watz inaowalilia. Kaumia kichwani kidogo tu, ila alikuwa kama kalewa flani
  5. mchadema

    JamiiForums Tanzania Lowassa Amjibu Slaa

    Mm na ndg. Rafiki, na mAjirani tumekubaliana kwa pamoja tumuangamize ccm mnamo trh 25
  6. mchadema

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Makamanda wekeni mafuriko
  7. mchadema

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Hahahaaa ccm mlaaniwe
  8. mchadema

    JamiiForums Tanzania Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Hiyo haipo na haitakaa itokee
  9. mchadema

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

    chadema inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu
  10. mchadema

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

    CHADEMA inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu
  11. mchadema

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    hapana 1000%
  12. mchadema

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

    mkubwa nakubaliana na wewe kabisa, coz pure grain ya ccm lazima iwe na sifa zifuatazo, ufisadi, rushwa, mtu wakupenda kusifia madudu yanayofanywa na ccm, muongo, asiyependa haki, anayejali maslahi ya mabwana zake kuliko watanzania wavuja jasho. sasa haya unayouaita makapi ni wale wenye sifa...
  13. mchadema

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Wakuu hapo wampe Dr Hyte ni kifaa sanaaa
  14. mchadema

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    duu.huyo Ben hata simjui
  15. mchadema

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    pumbavu kabisa, irudi nyuma ili iweje sasa. kweli we hewa
Back
Top Bottom