Recent content by mcfm40

  1. mcfm40

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Ulikuwa hujui? Kazi ya chama cha upinzani ni kuchochea moto na kuwachanganya upande mwingine! Kama Chadema wanafanya hivyo ndio wajibu wao hasa na wanatenda sawa. Ingeshangaza CCM wavurugane huko halafu Chadema wakae kimya bila kutia neno!
  2. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Hili halikubaliki! Na taarifa ziwafikie Atladi kwamba hili tumelikataa!
  3. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Hili linashangaza kwa kweli!
  4. mcfm40

    JamiiForums Tanzania EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

    Unajua nini kinaenda kutokea? Kama kweli bei katika soko la dunia imepanda basi hakuna zaidi ya wiki kutakuwa na uhaba mkubwa wa mafuta nchini. Wafanyabiashara hawatakubali biashara ya hasara!
  5. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

    Asante sana. Ujuaji wa kijinga! Anakera sana!
  6. mcfm40

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Lugha mbaya sana dhidi ya wazazi wa Hamza! Hii inaweza kuongeza uhasama! Hawa viongozi wetu kwa nini hawachuji kauli zao kabla ya kuzitoa? Juzi tulisikia matiti ya kina dada... leo wazazi wasizae hovyhovyo watoto km kina Hamza! Nadhani baadaye akitafakari hii kauli atajilaumu sana!
  7. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Sabaya ana kesi tofauti tofauti! Ya kwanza ilikuwa unyang'anyi wa kutumia silaha. Hii ni nyingine tofauti ya uhujumu uchumi. Bado zipo nyingine zitafuata ambazo zipo kwenye upelelezi! Hawezi kuchomoa zote!
  8. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Hivi unawezaje kudhibitisha bila kuacha chembe ya shaka dhamira ya mtu kutenda jambo ambalo halikutendeka? Ili tuhuma ya ugaidi idhibitike bayana ni lazima hujuma halisi iwe imetokea au kuwe na ushahidi wa moja kwa moja kwamba hujuma husika ilikuwa inakwenda kufanyika bila chembe yoyote ya...
  9. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Hakuna atakayeridhika au kuridhishwa naye akaridhika

    "Asije akajaribu kuwaridhisha waliochukia Magufuli ili wamuunge yeye mkono au asije kuwaweka pembeni waliompenda Magufuli ili wengine wamuunge mkono. Ni kweli ameingia katika mazingira ambayo hatujawahi kuyapitia lakini kisiasa anatakiwa apime na atafute njia ya jinsi gani atavuka kwenye waya...
  10. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Nimeshangaa kusikia matangazo redioni yakihimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la mwenge na mkesha Dar es Salaam. In particular nimemsikia DC wa Kigamboni akihamasisha na kusai kutakuwa na wanamuziki kibao kuhanikiza shughuli hiyo ya mwenge. Nimeshindwa kishangaa! Nini tubafanya...
  11. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Dah, tuna bahati mbaya kiumbe kama huyu kuwa associated na Chadema. Anatumia nafasi hiyo vibaya! Hopeless kabisa! Yaani analazimika kuwafurahisha CCM ili mke wake asinyanganywe tonge!
  12. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    Mambo ya Lameck Nchemba hayo! Haya ndiyo mambo anayaweza. Sio ya nafasi kubwa kama aliyonayo sasa!
  13. mcfm40

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Daraja la Kijazi.... Daraja la Mfugale.... huku sio kuchuriana? Wazee wa maeneo husika wamekasirika! Turudishe majina ya asili ya maeneo husika! Daraja la Tazara, Daraja la Ubungo, stendi ya Kuu ya Mabasi Mbezi Louis!
  14. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Nashukuru serikali imepata huu ujumbe na imeshachukua hatua tayari za kuwataka wahusika wajieleze kwa nini watoto hawajaenda likizo!
Back
Top Bottom