Recent content by McDeedanny

  1. McDeedanny

    How to find a text book on internet?

    Nawasalimu ndugu zangu nkiamini ni wazima wa Afya,Mimi ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza chuoni ni nimekumbana na hii hali ya kwenda kujitaftutia NOTES pekee yako,sasa Ma Leturer wamekuwa wakitupa vitini vyenye reffernce ya vitabu tofauti sasa kuachana na library Je kwenye Internet ni mamna gani...
  2. McDeedanny

    How to have her Attention???

    Wakuu nimewaelewa sana sana sana nitajitahidi nijaribu kukaa mby naye kama nikiweza mm mwenyewe nitafrahi sna ingawa nishajaribu nikashindwa then lemme try again, coz siwezi jua kwann ananifanyia hivi mm nimeshindwa kumwelewa. Lkn wakuu kama angekuwa hanipendee at all si asingekuwa anajibu hata...
  3. McDeedanny

    How to have her Attention???

    Sasa nifanye nn. Ndo maana yakuleta ombi lngu kwenu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. McDeedanny

    How to have her Attention???

    Sasa ndugu wat should I doo nampenda sana nifanye nn. Kweli ningekuwa na uwezo wakumpotezia ningeshafanya hvy sku nyng sana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  5. McDeedanny

    How to have her Attention???

    Ndugu zangu nilikuwa shida na nikiamini kbs kwamba nyinyi ndugu zangu mnauwezo wakunisaidi,Naam jamni mm nilitokea kumpenda sana msichana flani amby nimeshindwa kumwelewa hadi sasa kwani niliweza kumwambia kile nilichokuwa nakihisi ktk moyo wng na aliniambia kuwa nimechelewa ila skukata tamaa...
  6. McDeedanny

    Nini maana ya mtoto kupata A au B katika kuhitimu Darasa la 7???

    Wakuu natumaini mpo wazima na kuendelea kufanya vzr ktk shughuli za kujinge Taifa letuu, naam nilikuwa na tatizo nililoshindwa kuelewa kbs japokuwa nimejaribu kufanya utafiti sehemu mbl mbl but bado cjapata jibu la kunirizisha kbs, kutokana ma matokeo ya darasa la 7 kutoka na watotot wamekuwa na...
  7. McDeedanny

    I Need ur Help Please

    Sawa mkuu I knw nafanya makosa but sasa hakuna asicho kijua kama angekuwa mtoto asingekuwa tayari kwenye Mahusiano,kaka kusema ukweli so mm tena mm so kwamba nipo unavyo fikira nimempita mwaka Mmoja tuu na sahv nipo chuo mwaka wakwanza na yy ndo amemaliza 4m4 mm sione kama kuna mtoto hapo...
  8. McDeedanny

    I Need ur Help Please

    But sasa je kama ananipima kama na mpenda kweli coz kama nikisema nisimtxt kila saa si ndo ataona kama simpendee?? Au I'm wrong? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. McDeedanny

    I Need ur Help Please

    Ndugu zangu ninahitaji ushauri kabla sijafanya maamuzi yoyote,Kuna msichana nilitokea kumpenda sana,nilishawahi mtongoza ambyo hiyo ilikuwa mara ya kwanza ila alinitagaa kwakusema "sitaki mazoea na ww na ukiendelea kunifatafata nitamwambia Mama" kweli nish2ka sana kusikia mambo ya mama but...
  10. McDeedanny

    Ipe neno picha yangu ya leo

    Ipo safi good ediction Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. McDeedanny

    MALUMBANO ya HOJA ITV; MIGOGORO ya ndani ya vyama vya siasa, je ni kukua kwa DEMOKRASIA?

    Daviedanny from AII,all I can say is tha "every single movement,step their must be some challenges on it " hvyo basi bale mtu au sehemu flni unapokutana na changamoto na kufanikiwa kuzishinda ndipo unapokomaa kiali na uwezo wakutatua matatizo hvyo basi CDM ndipo chama kinapo komaa kwakulutana ni...
  12. McDeedanny

    University of arusha mzigo umetemwa!!!

    Hii unversity of Arusha ndo kipi na kipo wapi au ndo hichi cha uhasibu njiro? Execuse me Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. McDeedanny

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Mambo ya u----a nackia yapo nikweli?
  14. McDeedanny

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Zzk atulie kwa chadema narudia tena hakuna zito bila cdm mungu bariki chadema nawana chadema wote
  15. McDeedanny

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Wanampango mchafu na cdm washindwa tena kwa aibu kwa jina la yesu
Back
Top Bottom