Ndugu zangu nilikuwa shida na nikiamini kbs kwamba nyinyi ndugu zangu mnauwezo wakunisaidi,Naam jamni mm nilitokea kumpenda sana msichana flani amby nimeshindwa kumwelewa hadi sasa kwani niliweza kumwambia kile nilichokuwa nakihisi ktk moyo wng na aliniambia kuwa nimechelewa ila skukata tamaa jmn toka mwezi wa kwanza pale nambembeleza tuu na nilikuwa nafanya hvy kwasababu niliona kama so kwamba alikuwa hanitaki bali alikuwa haniamini ndo maana skukata tamaa sasa mapema mwezi huu ameniambia hapende kuniona naumia na amesema kuwa ananipende ila hanipendee kama anavyo mpendee hyo aliyeniwahi yani wote anatupenda kimapenzi ila yle wa kwanza ndo anampenda zaid, sasa juzi baada yakuniambia hvy kuwa apende kuniona naumia amenikubali kwakusema anatupima nani anampenda zaid amby hata cheza na hisia zake,hvy basi sasa tupo kwenye vpimo na ninafanya kila niwezalo aone kuwa nikweli nampenda, ila naona kama hya yte ninayo yafanya hayatoshee kwani smwelewe amekuwa na mapozi sana Je nifanye nn ndugu zangu Ile nipate attention yake kwangu kwann jmn nikweli nampenda sana sana jmn. Nawakilisha wakuu,,,
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums