Ila me nimesikia ni jengo la Rostam Azizi. Wananchi tumefurahi coz tumeona kumbe kuwa ni ofisi ya serikali haiwezi kuwa ticket ya kuvunja sheria km wananchi wengine wamevunjiwa kwa maelezo majengo yao yapo ndani ya hifadh basi na jengo hilo livunjwe coz nalo lipo ndani ya hifadh
kwasababu huwa haruhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi y za mumewe au kujitolea xo wanampa mshahara kwa kumzuia asifanye shughuri zake zingine za kumuingizia kipato chake
Ile ripoti imepokelewa na spika wa bunge lakini haikuwa ndani ya bunge pale ni nje wazee ndo mana kulikuwa na watu wengine ambao c wabunge pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wapinzani wa huku ni wanafiki sana coz wao matokeo ya vituo vyote wanakuwa nayo kabla hayajafikishwa tume kwanini akati mwenyekiti anatangaza matokeo feki wasiende mahakaman wanasubir mpk mtu ametangazwa mshindi ndo wanasema hatukubaliani na matokeo akati nafasi ya kwenda mahakamani...
Tala inatakiwa uwe na tigopesa tu branch ndo unatumia lain kati ya tigo au voda ila tala ni wepesi zaidi kutoa mkopo kuliko branch
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.