Mkuu pole sana
Mimi niliwahi ingilia msafara wa mama kizi mkaxi akuwa ni DP
Nakumbuka alikuwa anatoka morogoro wakaniacha mita kama 200
Tumetoka chalinze kufika kibaha nikakuta gari moja ipo njiani kilichofuata ni kuwekwa lock up mungu saidia kuna walio unga bodi nyuma
From that date to date...
Kwahiyo before ya kupata hiyo access ya mawasiliano, hao watu wengine alikuwa anawasalimiaje, hapa ndipo tunapojua kuwa bongo ni kisiwa cha fix sana
Hellow is a form of greeting used by a hyper-active person in The Netherlands.
Pia unaweza search na kujua maana yake na siyo hiyo wewe...
Subiri dawa iwaingie si mlikuwa mnasema asubuhi mnaingia ikulu sasa mnaanza jumuiya ya kimataifa,mkuu fuatilia hata huko unakokuita ndio utajua siasa sio sihasa,tulizeni vipwago power safe iwaingie vizuri CD4 zipande hahahhahahhaa
Ningekuwa sijasoma nisinge jibu,inaonyesha ni kiasi gani mawazo ako na mtazamo wako ulivyo,kitu ambacho vijana wengi wa chadema ambacho mnacho ni stupid mentality, thinking capacity yenu ni ndogo sana ,mnapenda kuwa driven na emotional
Biblia husema,kabla hujatoa boriti kwenye jicho la mwenzako, basi toa kibanzi kilicho jichoni mwako, Biblia husema tii mamlaka iliyopo maana ina kibali na Mungu,kila mamlaka ina makusudi yake mbele ya Mungu, hivyo yeye kama askofu hana mamlaka ya kushindana na Mungu, yeye ni binadamu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.