rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,150
- 20,054
Askofu feki, kazi ya kiongozi wa dini ni kuombea wenye dhambi ili wabadirike na sio kulaani ndio maana kamekaa kameshupaa kama kachawi halafu kanajiita askofu
Hehhrr kuna mtu ni waziri ktk serikali ya JPM kaka yake ana kansa muda wowote anapotea, mdogo wake ana stroke anajienyea tu hata mavi hawezi kwenda chooni. Mama yake anaumwa Figo zimefeli. Moja ya watoto wake ana autism.Ngariba hilo halitakuja tokea, ndiyo maana nchi yetu inaongozwa na mfumo ambao umejaa wazalendo
Laana imeletw ana Mungu mwenyewe kuwanyosha wakaidi.Askofu feki, kazi ya kiongozi wa dini ni kuombea wenye dhambi ili wabadirike na sio kulaani ndio maana kamekaa kameshupaa kama kachawi halafu kanajiita askofu
Mungu amekuwaaa kama mpira wa kona, kila mchezaji anagombaniaHayo ndio maombi ya Askofu?
Kweli Mungu siku hizi anataniwa.
By the way, hivi mleta mada Membe yuko wapi?
Ninakazia kwa dhati kabisa Afedheheshwe hadi kizazi cha nne,Ninakazia zaidi, afedheheshwe hadi kizazi chake cha nne!
Udikteta sasa Basi!
Wewe ni pimbi. Serikali inaongozwa na mfumo si mtu mmoja. Subiri lijinga wewe baada ya huyo kibaraka wenu kushindwa. Mnaishi kwa ujinga wa eti mfanyakazi wa serikali akiumwa eti karma, nyani mkubwa kila mtu ataugua na kifo hata wewe utakufa shenzi kabisaHehhrr kuna mtu ni waziri ktk serikali ya JPM kaka yake ana kansa muda wowote anapotea, mdogo wake ana stroke anajienyea tu hata mavi hawezi kwenda chooni. Mama yake anaumwa Figo zimefeli. Moja ya watoto wake ana autism.
Ukisikia laana ndio hizi. Na wako wengi. Kuna mwingine mama yake yuko vegetative state huu mwaka wa 4.
Na iweLaana imeletw ana Mungu mwenyewe kuwanyosha wakaidi.
Mungu ameandika kwenye biblia yake kuwa atawapatiliza wana wa watenda maovu kunzia kizazi cha kwanza hadi cha nne
Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu.
Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na Askofu Mwamakula, Dua ya mtu yeyote yule atakayehusika kuiba haki katika uchaguzi huu ya kufedheheshwa hapahapa duniani yeye mwenyewe hadi kizazi chake cha nne.
Sasa nyie Watawala, watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Wakuu wa vyombo vya usalama fahamuni kuwa baada ya uchaguzi kuna maisha yenu binafsi, kunamaisha ya familia zenu. Hao watawala mnaowapigania watapita lakini Jueni kuwa kuna Dua ya Laana iko juu yenu mkivuruga uchaguzi huu.
Nyie mna watoto, au wajukuu, mtapata vitukuu n. k itawasaidia nini mtie uzao wenu laana eti kwa sababu ya ajira ya leo au posho ya leo?
Rais Magufuli, Jaji Kaijage, Jaji Mihayo, Diwani Athumani, Simon Sirro, Mkuu wa Majeshi Mabeyo na wooote ambao wanapokea amri zao hadi huko kwa wasimamizi wa vituo vya kura. Mko tayari nyinyi hii Dua ya kuwapatilizeni nyie hadi uzao wenu wa nne iwatafune?
Basi watendeeni haki Watanzania la sivyo msije mkafanywa dhalili katika dunia hii, mkawa na vizazi vilivyolaaniwa sababu tu ya kutowatendea haki watanzania!
Kuna maisha baada ya uchaguzi huu, kumbukeni hilo
Mfumo upi huo? one man show nayo ni mfumo?sema inaendeshwa kwa amri ya mtu asiyefuata sheriaWewe ni pimbi. Serikali inaongozwa na mfumo si mtu mmoja. Subiri lijinga wewe baada ya huyo kibaraka wenu kushindwa. Mnaishi kwa ujinga wa eti mfanyakazi wa serikali akiumwa eti karma, nyani mkubwa kila mtu ataugua na kifo hata wewe utakufa shenzi kabisa
Tanzania, serikali inaongozwa na mtu mmoja ambaye ni Magufuli na wala sio mfumoWewe ni pimbi. Serikali inaongozwa na mfumo si mtu mmoja. Subiri lijinga wewe baada ya huyo kibaraka wenu kushindwa. Mnaishi kwa ujinga wa eti mfanyakazi wa serikali akiumwa eti karma, nyani mkubwa kila mtu ataugua na kifo hata wewe utakufa shenzi kabisa
Upuuzi mtupu. Dua la Kuku halimpati mwewe. Huyu askofu ni mchumia tumbo.Imeandikwa, laana isiyo sababu haimpati mtu.
Ningekuwa sijasoma nisinge jibu,inaonyesha ni kiasi gani mawazo ako na mtazamo wako ulivyo,kitu ambacho vijana wengi wa chadema ambacho mnacho ni stupid mentality, thinking capacity yenu ni ndogo sana ,mnapenda kuwa driven na emotionalNdio matokeo ya kureply kabla hujasoma thread,hivi umeelewa mada inasema nini?,kwani askofu hajatii mamlaka?,kwani askofu amekana kwamba mamlaka hazina vibali?,
Ndio matokeo ya kureply kabla hujasoma thread,hivi umeelewa mada inasema nini?,kwani askofu hajatii mamlaka?,kwani askofu amekana kwamba
Jidanganye, kwa sababu ile ni mfumo ndiyo maana hamma pa kutokea pimbi wakubwa. Mfumo mmojawapo ni wawapiga kura, lazima mtoswe then mfumo uwashughulikie pimbi nyieTanzania, serikali inaongozwa na mtu mmoja ambaye ni Magufuli na wala sio mfumo
Mungu hapangiwi aisee, angalia tu yasije kukurudiaNinakazia zaidi, afedheheshwe hadi kizazi chake cha nne!
Udikteta sasa Basi!
Hujui maandiko so you can quite from this.bado hujajua kama ukisali unatoa tamko???
kusema Mungu atatenda ni tamko hilo,ukiachana na mengine kama kusema atakayedhurumu na apate laana.