Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Vizuri..
Pia naskia Kuna ALBADIRI tayari imesomwašŸ™„

Hapo ni kila mmoja kuchunga HATMA yake na uzao wake. Ukitekeleza maagizo ya kihuni ya watawala, inakula kwako na uzao wako
Bado mnaongozwa na myths za kidinišŸ¤”? Mungu angekuwa na mawazo kama ya binadamu watu tusingekuwepo mpaka leo.Badala ya kushughulika na dhambi zako,unashupalia dhambi za wenzako.

Eti ALBADIRI šŸ˜‚šŸ˜‚, upuuzi tu.
 
Maombi ya mlevi ni kazi bure
Khaaaaaaa wewe kiboko, niliua huku kwenye hizi laaana hutaingia, kumbe unachungulia
"Mungu baba uliyeketi katika kiti cha juu umlaani Bia yetu yeye na kizazi chake na wenzake wote wanaoshabikia dhuluma hata kutufungia mawasiliano kwa nia ya kuiba Kura tu ili waendelee kusaza na mkumwaga, uwalaani hadi vizazi vyao vya 4
-Askofu Mwamakula
 
Hakuna laana inayoweza kumpata mtu kutoka kwa askofu mwanasiasa na mpumbavu kama yule. Chamsingi asubirie tu kuletewa sadaka kanisani maana ndo uhai na ujanja wake hapa duniani.
 
Mwambie huyo Askofu kuwa vijana waliokuwa wanafurika mikutano ya Lisu Leo wameingia mitini vituo vya kura hawaonekani wamefurika watu wazima tu
 
Nimetoka kituoni sasa hivi hapa Ukonga. Nimeshangaa kwamba hakuna wazee kabisa ni vjana tupu. Mazoea zamani unaenda kituoni saa kumi na mbili unakutana na vibibi na vibabu leo hali iko tofauti kabisa.
 
Wazee hali mbaya kiafya, labda wapelekewe majumbani... kizazi cha zamani kinaelekea kupotea chini ya jua.
 
Nimetoka kituoni sasa hivi hapa Ukonga. Nimeshangaa kwamba hakuna wazee kabisa ni vjana tupu. Mazoea zamani unaenda kituoni saa kumi na mbili unakutana na vibibi na vibabu leo hali iko tofauti kabisa.
šŸ˜šŸ˜šŸ˜ Hata vijana waliwahi,wazee watakuja na kupiga kura Kama kawaida.
 
Back
Top Bottom