Recent content by MC RAS PAROKO

  1. MC RAS PAROKO

    Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Kwa msiojua na mnaoshangaa UTT haipo sana agressive kutafuta faida kubwa ila wanaplay safe ndo maana wanarange kwa faida ya 10-13% PA ila kwa hisa hususani za CRDB kuna zaidi ya hapo nitatoa mifano michache kwa wepesi kabisa ili nieleweke. Binafsi ni mwanahisa wa CRDB kwa miaka kadhaa sasa na...
  2. MC RAS PAROKO

    Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

    Ukijua kiundani viwanda vya magari HOWO anahitaji miaka zaidi ya 50 ndo ajaribu kuanza kupambana na SCANIA.. Traton Group ndo anamiliki SCANIA ila pia Traton na subsidiary ya Volkswagen Group. Hizi Scania nyingi zinazotumika Tz ni used lakini bado unakuta jiko linaita na kwenye route Ndefu na...
  3. MC RAS PAROKO

    Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Kutangulia kupata elimu na kutoridhika na mafanikio madogo kunawafanya wachagga waendelee kuwa mbele katika masuala kama haya. La msingi ni kujifunza kwa aliyekutangulia bila kujali kabila,dini wala sura. Laiti kama kila kabila lingekua kama walivyo hawa wachagga naamini maendeleo...
  4. MC RAS PAROKO

    Twende Kidigitali 2023 OFFER kwa Wamiliki wa Makampuni Tanzania

    Tuwasiliane mkuu.. Nimetuma email sijui kama mmeona.
  5. MC RAS PAROKO

    Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Wamebadilisha kidogo ila still inafanya kazi nimeitumia mwezi ulopita ilikua sawa. ngoja nikutafutie link
  6. MC RAS PAROKO

    Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Shukrani sana. Vipi kwa kampuni iliyosajiliwa Brela na bado haijapata Tin wana kuanza biashara hii nayo inahusika kwenye ukadiriaji?
  7. MC RAS PAROKO

    Historia imeandikwa Tanzania

    Ndani ya miaka mitano ijayo kiasi kama hicho cha faida kitaingizwa na Bank moja sio sector nzima. Mazingira rafiki ya biashara ndo kilichohitajika. Subiri shida za Russia na Ukraine zipo mfumuko wa bei urudi chini.
  8. MC RAS PAROKO

    Vyuma vya cannop ya petrol station vinauzwa wapi?

    AIM STEEL PHONE NUMBER +255 27 250 3079 MOBILE PHONE +255 713 400 622 FAX +255 27 254 8461 WEBSITE http://www.aimsteeltz.com
  9. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Anza na kufungua account kwa site yao DSE hii Hapa.. Soko la hisa DSE
  10. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Sijaona changamoto yyte kwa ununuaji wa online so far.
  11. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Pitia Youtube utapata video zinaeleza hii hatua kwa hatua.
Back
Top Bottom