Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

Natumaini wazima ,poleni kwa majukumu, naomba kufamiswa namna ya kununuwa hisa online.
 
Nimeanza kununua kuanzia January 21 na nikutoe waswasi ni salama kabisa na ukinunua baada ya muda usiozidi wiki mbili unakua umeshapata cheti chako cha umiliki wa hisa. Ni salama na nakushauri anza sasa...

Ndugu chamamoto gan umekutan nayo wakat mpaka sas kwa uzoef wako kweny swala hili la hisaa
 
Back
Top Bottom