Recent content by mc bonm

  1. mc bonm

    Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

    Tumeubwa tofauti mkuu mm hua naumia sana nikikosa mieleka. Ila siwezi kutizama mpira wa miguu na nikitizama kesho siwezi hata kumkumbuka aliefunga goli.
  2. mc bonm

    ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

    Mwambie maisha ya Moshi ni tofauti na miji mingine.
  3. mc bonm

    Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

    Polisi wapo vizuri kuleta amani kwa wananchi. [emoji196][emoji196][emoji196]
  4. mc bonm

    Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

    Piga chura haooooooooooooooooooooo.
  5. mc bonm

    Kuacha kazi Serikalini

    Ikiwa DED ni mwanamke je?
  6. mc bonm

    Swali: Ni kwanini urefu wa milima unapimwa kutoka usawa wa Bahari?

    Ukisoma mwishowe unakua chizi. Kama Dunia duara bahari inakuaje kipimio.
  7. mc bonm

    Banki sio rafiki kwa Mfanyakazi/mtu wa kipato Kidogo

    Una uelewa kiasi gani kuhusu biashara?
  8. mc bonm

    Natoboa siri: Zitto 'anatumika' na CCM 'kumgombanisha' Lissu na CHADEMA na kuivuruga CHADEMA kuelekea 2020

    Mtu mwenye kupenda amani/furaha kwenye maisha yake kamwe hawezi kumshabikia mwanasiasa yeyote. Hawaaminiki kabisa
  9. mc bonm

    Yanga hakuna timu

    Sii angewaloga tuu
Back
Top Bottom