Recent content by Mc barida

  1. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    Nimekupata mkuu asante sana
  2. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    Nashukuru kwa ushauri mkuu
  3. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    Asante mkuu ila nina three ya point 13 pcb
  4. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    baada ya kukosa chuo round ya kwanza hadi ya tatu hatimaye nmepata katika round ya nne kwa kozi ya Bachelor of education in early childhood lakini siamini kama inafursa ya ajira kama ilivyo kwenye kozi za afya hivyo naona bora nikasomee diploma ya Clinical office ushauri wenu tafadali
  5. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Wale mliokosa chuo 3rd round

    Mkuu weka na namba ya vodacom pia
  6. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tunapaswa kuripoti chuoni tar 25/09/ bila kupata joining instruction

    SHINYANGA TC – JOINING INSTRUCTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 – ShyCom Teachers College
  7. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Aliyeripoti chuo bila join instruction tukutane hapa

    SHINYANGA TC – JOINING INSTRUCTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 – ShyCom Teachers College
  8. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wote mnaokwenda diploma 2017/2018

    SHINYANGA TC – JOINING INSTRUCTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 – ShyCom Teachers College
  9. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Tundu Lissu atakaporudi uwanja wa ndege anawapungia waliokuja kumpokea?

    Daaaaaa kama naiona siku hiyo
  10. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

    Shycom ttc
  11. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    Vya government 600000 but private vnatofautina kulingana na chuo husika
  12. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    Plz dikai nipe source nihakiki maana kuna mtu alinijuza kuwa shinyanga first year tutaripoti tarehe 20 et! halaf kuna chuo flani cha ualimu pia nilijuzwa et kitafunguliwa mwezi january mwakani sasa ndo maana bado ninautata nisaidie tafadhali
  13. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    Wakuu mwenye info.. za shinyanga teachers college hasa kuhusu tarehe ya kuripoti na joining instruction atujuze pia "natanguliza shukrani kwa mwenye msaada"
  14. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Anayejua tarehe ya kuripoti kwa waliopangiwa vyuo vya ualimu(diploma in primary)

    Me nimechaguliwa shinyanga tearchers college lakini sijui admission letter ntaipataje wala sijajui tarehe ya kuripoti. "msaada jamani"
  15. Mc barida

    JamiiForums Tanzania Anayejua tarehe ya kuripoti kwa waliopangiwa vyuo vya ualimu(diploma in primary)

    Mbali na deadline kwan tarehe rasmi ni lini?
Back
Top Bottom