Recent content by mby city

  1. M

    Usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako

    hawapendi kuwaona wengine wakifanikiwa duniani
  2. M

    Usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako

    namkubali sana huyo jamaa,ila nashangaa nyimbo zake kupotezwa wakati waliokufa zamani kuliko yeye wakina bb marley nyimbo zake zote zipo
  3. M

    Usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako

    nikisema kuna watu wenye maono alikuwepo justin kalikawe aliimba nyimbo nyingi sana ambazo zinamaana mpaka sasa,hasa ninaposikiliza wimbo wake anaosema usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajari kama ya mv bukoba,tatizo la wamachinga,roho ya korosho,amani na zingine...
  4. M

    Nimefurahia Nape kutenguliwa uwaziri, sababu hizi hapa

    mtoa post hujielewi slaa hakufukuzwa rekebisha uzi wako
  5. M

    Msaada wa kudownload vitabu kwenye laptop yangu

    toa downloader manager kama unayo,af then endelea kudownload
  6. M

    Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    kuonyesha vyeti imekuwa kazi ngumu kuliko kusafiri kwenda kolomije,,,
  7. M

    Waziri Nape, wachukulie hatua Gazeti la Mwananchi kwa kuihujumu CCM

    wewe hujielewi na unaonekana nimsaliti kwakupinga ukweli
  8. M

    Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

    unataka umfananishe slaa na bashite,maana hoja yamsingi sijaiona.
  9. M

    Rais Magufuli siasa si uadui, Una kifua kweli?

    Don't close the door behind you You might wanna go through it someday Don't burn that bridge You might wanna cross it someday Your best friends today Could be your worst enemies to morrow Your worst enemies today Could be your best friends tomorrow Don't burn the bridge Don't cross the door...
  10. M

    Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

    mimi namkubali wa chadema kwavile anajenga hoja zenye maslahi ya nchi nzima lakini kinana nindani ya chama,hivyo machimji nibingwa
  11. M

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    TLS sio chama cha siasa,nichama cha wanasheria,kinaongozwa na katiba yakwao wao wanasheria bila kuvunja sheria za nchi,,kutokana nahilo ningeomba watu wote ambao sio wanasheria ila mmepewa midomo yakuongea kama bashite muwaachie wanasheria wamchague wanae mtaka kama nilisu sawa kama mwingine poa
  12. M

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    umeanza vizuri lakini mwishoni naona pumba tu,,inafikia vipi unaunganisha dini na kufoji vyeti,,,,kunadini inayochekelea kufoji vyeti?
  13. M

    Balozi Seif: Maalim Seif hana ubavu wa kuwa Rais wa Zanzibar

    inamaana mtu kuwa RAIS lazima uwe mbabe
  14. M

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    mhh!!!!!!!!!!!!!hatari sana anaitwa daud
  15. M

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    mimi ninachokiona hapa nikwamba jamaa anataka kucheza na akili zetu...mimi nafikiri mwenye akiri ameuona ukweli maana mi nikimsikiliza huyu jamaa nahisi ananichanganya..huenda ametumwa kufuta kauli.mimi binafsi hata uje na msasa kwaile kauli huwezi kufuta ila busara nibora angekaa kimya kama...
Back
Top Bottom