Recent content by mbwili

  1. mbwili

    JamiiForums Tanzania Rushwa police dar

    Ndugu zangu rushwa imepamba moto kuhusu rist kwa wateja ambao wananunua mizigo bila kupewa rist ya efd naomba vyombo husika viingilie kati Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mbwili

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Sisi wafanyabiashara kariakoo tunapatavshida mno tunashumbuliwa na polisi kwa ajili ya rist za efd mkuu rushwa inanuka..
  3. mbwili

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

    Una uhakika na unacho kisema
  4. mbwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua EFD.mfumo wake

  5. mbwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua EFD.mfumo wake

    Kwanini makonda jamani huyu nani yupo yuma yake
  6. mbwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua EFD.mfumo wake

    Tatizo kubwa sheria za kodi ya nhi yetu ni copy & paste kitu ambacho ni tatizo wawe wanaangalia hata uhalisia wa maisha ya mtanzania. Kungekuwa na uwezekano ningeomba serikali ya awamu ya tano iangalie suala hili kwa jicho lingine na kufanyia marekebisho baadho ya vipengele vya sheria za kodi...
  7. mbwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua EFD.mfumo wake

    Sawa@Babu Kivu lakini wamachinga hawajasajikiwa ktk VAT je, nkinunua bila EFD na nkauza kwa EFD huoni kwamba kuna uwezekano wa kupata loss mkuu
  8. mbwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua EFD.mfumo wake

    Je inakuaje kama nitanunua bidhaa bila vat mimi nikauza kwa kutumia Efd .ukizingatia kuna bidhaa zinapatikana kwa wamachinga.
Back
Top Bottom