Recent content by Mbwehera

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamekopa nje ya nchi kuendesha M4C-OPD... Watalipaje huo MKOPO?

    Kwa vile deni linatakiwa kulipwa baada ya miaka miwili, watatumia fedha za Hazina kulipa hili deni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

    Suala la Serikali mbili linatoka wapi kwenye hii rasimu itakayojadiliwa na Bunge La Katiba? Tume imetayarisha rasimu mbili za Katiba baada ya kupokea maoni ya wananchi na wadau mbalimbali. Rasimu zote mbili zimezingatia mapendekezo yaliyotolewa na wananchi walio wengi likiwemo suala la Serikali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Serikali mbili kujadiliwa kwenye Bunge la Katiba linatoka wapi?

    Nimekuwa nasikia kutoka kwa wanasiasa mbalimbali kuwa Bunge la Katiba litajadili pendekezo la CCM la Serikali mbili. Wengine wana wasiwasi kuwa kwa sababu wajumbe wengi ni CCM, inawezekana pendekezo la Serikali mbili likapita. Aidha hawa walio na mawazo ya Serikali mbili wanapotosha wananchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Pinda: Yatoa taarifa yake ya wanafunzi kufeli mtihani wa kidato cha nne

    Sasa kama sababu zenyewe zinajulikana nje nje, wa kulaumiwa ni hawo Maprofesa wanaotoa hizo taarifa za awali au ni Waziri Mkuu aliyeamua kuunda Tume kwa kitu ambacho majibu yanajulikana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania John Heche awaleta nchini vijana wa Marekani,Uingereza na Ujerumani

    Je hawatapigwa stop airport? Tungojee kina Nape watasemaje kwani hii itakula kwao kama wataruhusiwa kuingia na kutema cheche zao kwa vijana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Kama kwa miaka 50 chini ya Chukua Chako Mapema (kwani rasilimali hazina mwenyewe au mwenye uchungu nazo) hali ndiyo hii, kwa nini tusijaribu sera nyingine? Tuwape fursa wajaribu labda itawafanya watawala wasiwe miungu Watu Kama ilivyo sasa. Kwa wanaofaidika na system ya sasa ni wazi Kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Kihonda Morogoro Wananchi wafunga tena barabara

    Mbunge haelewani na Meya na watendaji wa Halmashauri. Je huyu Mbunge atawezaje kuwapatia maendeleo wananchi?. Sana sana anachoweza ni kuwapigania machinga wazibe barabara na kuchafua mji. Hata hivyo ni wanachi hawa hawa wanaofunga barabara waliomkataa Prof ili wawakilishwe na huyu Form IV...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

    Haya ndiyo mambo yanatakiwa kufanywa na vyama vya siasa. Kuwa karibu na wananchi hasa wakati wa matatizo ni kujihakikishia ushindi wakati wa kura. Tutegemeee nao CMM watoe misaada hospitali ya Muhimbili au Temeke kesho.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Mbwehera
Back
Top Bottom