Recent content by mbwadinho

  1. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Duuh kasheshe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Mkuu hiyo spying ni app au ipo setting Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Ngoja tuwe na subira waje wajuz Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Sawasawa mkuu ila hili tatizo nalo lasumbua kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Sawa mkuu
  6. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Uliliondoaje hilo tatizo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Mkuu ndio uwezo wetu ulipoishia
  8. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Ndio mkuu ni tecno
  9. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Jmn msaada wa hili tatizo
  10. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Jamani msaada plz
  11. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

    Habari za mujukumu WanaJamiiForums, Ninaomba msaada wa kufahamu jinsi ya kutatua tatizo la simu kujiweka loud speaker bila kubonyeza sehemu ya loud speaker mara unapopokea simu Asanteni
  12. mbwadinho

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Shule uliyochaguliwa Kidato cha Tano

    Habari za majukumu naomba kufahamishwa namna ya kubadilisha shule uliyochagiliwa kujiunga Kidato cha Tano.
  13. mbwadinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikomo cha SMS kwa mtandao wa Airtel

    HabarI zenu jamani, naomba msaada kwanini nikitumia SMS kwa muda mrefu mwisho wa siku natumiwa SMS na Airtel ikisema nimefikia kikomo cha kutuma SMS. Msaada tafadhali kwa anayejua hili tatizo
  14. mbwadinho

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu dawa ya sikio

    Sawa wakuu ngoja nifanyie kazi ushauri wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mbwadinho

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu dawa ya sikio

    Habari za majukumu wataalam, Nimekuwa na tatizo kwenye sikio takribani miaka 2 sasa tatizo lilianza kutokea baada ya kupingwa sehemu ya sikio la kushoto na baada ya siku mbili lilitoa damu nyeusi baada ya hapo nikawa nasikia maumivu ndipo nilipotumia dawa ya kudondoshea sikioni baadae...
Back
Top Bottom