Recent content by Mbuzimtu

  1. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji chuo kikuu cha Tumaini, tawi la Mbeya utumbuliwe haraka

    Wana JF, Tunaomba serikali ingilie kati mara moja kuokoa mstakabari wa wanafunzi wanaosoma fani ya unesi katika chuo Chuo kikuu cha Tumaini tawi la Mbeya. Watoto hao waliomba kujiunga na chuo hicho wakijua ada ya chuo ni shilingi laki saba kwa mwaka. Ghafla, wanafunzi wanapokwenda kulipoti...
  2. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Leo Lowasa na Ukawa mmetukwaza wakazi Wa Bagamoyo. Hamzitaki kura zetu?. Naomba sana kesho asubuhi mje Bagamoyo
  3. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kiusalama kwa wenye nyumba na polisi siku ya uchaguzi

    Kumbe na wewe Fithiem.
  4. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Je, kuongea lugha za makabila katika mikutano ya siasa ni kukuza ukabila nchini?.

    Kumekuwepo na baadhi ya wanasiasa kuongea lugha za makabila wakati Wa kuomba nafasi za uongozi. Binafsi sifurahishwi na Tabia ya wanasiasa Wa namna hiyo kwakuwa watanzania hatukuzoea kuona viongozi wetu wakituhutubia kihivyo. Mm ninajiuliza, Tabia hii sio mwanzo Wa kuchochea ukabila katika...
  5. Mbuzimtu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taratibu za kuasili mtoto aliyekataliwa na baba

    Kwanza: 1. Mtoto ana miaka mingapi?2. Unauthibitisho kwamba baba amemkataa mtoto?. Ukinijibu hayo nitaweza kutoa ninachokifaham binafsi
  6. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuache kulalamika,tujibu mapigo

    Ni wakati wa kwenda kwa wananchi kuuza Ilani ya UKAWA.
  7. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Kumtumikia Mungu ndiyo kazi pekee duniani

    Kwa maisha ya mwanadamu, kazi mhimu na ya pekee in kumtumikia Mungu. Nimetafakari sana kazi zote no ubatili mtupu na kujilisha na upepo. Kama mtu anaweza kuaminiwa na kuheshimiwa alafu akafika mahara akawageuka waliomwamini basi Mungu pekee ndiye anafaa kuaminiwa na mwanadamu.
  8. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mbeya: Mkutano wa Mgombea wa CCM, John Magufuli - Agosti 29,2015

    Huu Uzi kama hauna wachangiaji basis ufungwe!. Naomba kutoa hoja!
  9. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huyu bwana amekosa mvuto na kila nikimtazama usoni naona kuna walakini mkubwa. Credibility yake imeanza kutia mashaka mengi sana!. Nyie mnamwonaje?
  10. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwanini wasimwalike Mwigulu au Kinana au Nape?. Kila Sikh Hugo Hugo inaboa!!!!. Utafikiri hakuna makada wengine wanaoweza kusaidia chama!. Channel ten na CCM badilikeni!.
  11. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na John Mnyika naombeni ushahidi nimpeleke Lowassa Mahakamani

    Anza na waliochukua hela za Escrow stanbic bank.
  12. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Hivi ukawa wako serious?

    Leo ni takribani siku ya NNE tangu kipyenga cha kampeni kifunguliwe. Mpaka sasa magufuli kazunguka mikoa kadhaa kwa kushirikiana na mgombea mwenza wake. Ukawa bado hawajazindua kampeni na hata huku mikoani bado wako tuli!. Kwa namna hii so mtakuta magufuli kashinda kwani mpaka sasa hana mpinzani...
  13. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    CCM walivyowaoga wanaweza kutafuta namna yoyote ya kudivert attention. Hivyo, UKAWA be prepared in advance.
  14. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Taifa laweza kuvunjika tusipokemea

    Kauli kama hizi zikiendelea kufumbiwa macho zitaliangamiza taifa. Ukiangalia kwa making, chama tawala na ambacho kina jukumu la kulinda utulivu na aman ya nchi ndicho kinachochea siasa za kikanda na kikabila. Nitasikitika sana kama Mzee mwinyi, Mkapa na Kikwete watafumbia macho kauli kama hizi.
  15. Mbuzimtu

    JamiiForums Tanzania Taifa laweza kuvunjika tusipokemea

    Tunahitaji kuwa na taifa imara na lenye umoja kuliko tunavyo hitaji kumpata rais wa nchi hii. Kauli ya kuwagawa watanzania inapaswa kukemewa na kila kiongozi mpenda nchi hii. Pia ni wajibu was kila mtanzania kuwapuuza wanaotaka kutugawa kwa misingi ya kidini,kikanda na kikabila. Leo...
Back
Top Bottom