East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,205
Siku ya uchaguzi CHADEMA wanataka wafuasi wao wakae mita mia moja toka kituo cha kupigia kura kwa kile kinachoitwa kulinda kura zisiibiwe maana hawawaamini mawakala wao waliioko ndani ya vyumba vya kuhesabu kura waliowaweka wenyewe.
Mwenye nyumba usikubali wakusanyike kwenye uwanja wako au nyumba yako wa CHADEMA ni hatari kwa usalama wa nyumba yako na mali zako na NI KOSA KISHERIA (TRESSPASS).Waweza anzisha fujo wakaanza uporaji hilo eneo wanalokusanyikia laweza kuwa la kwanza kuathirika.
Pia kukusanyika kwao eneo la nyumba yako au kiwanja chako ni kukukosesha uhuru Amani na utulivu katika eneo lako sababu waweza kuwa wanapiga mikelele hivyo kukufanya ushindwe kulala kwa ajili ya upuuzi wao au usijisikie Amani kwa uwepo wao
Lakini pia kukusanyika kwao kwenye eneo lako kama ni la biashara wataweza kufanya wateja waogope kuja kununua kwenye eneo lako kwa kuhofia usalama wao kwa hilo kundi lililojikusanya.
Unachotakiwa kufanya cha kwanza waambie kistaarabu watoke eneo lako.Wakikataa ripoti serikali ya mtaa au kwa mjumbe kuhusu uvamizi wa watu kwenye eneo lako.Ukiona vipi piga simu polisi wataarifu kuwa kuna watu wamevamia eneo lako wameweka mkusanyiko hapo waje wawaondoe maana hawataki kutoka kwa hiari.
Upande wa polisi kuna sheria zinazohusu mikusanyiko na uchaguzi.Tunaomba jeshi la polisi lizingatie hizo sheria.Sheria zinatambua mawakala kuwa ndio wateule halali wa vyama husika.
Hilo jeshi lingine jipya linalojiita la litasimama mita 100 kulinda kura halitambuliwi kwenye sharia ya uchaguzi na pia Mikusanyiko isiyo na kibali hairuhusiwi kisheria.
Hivyo mikusanyiko yoyote ambayo haina vibali ni kazi yenu jeshi lapolisi kuifanyia kazi.Kama vyama husika haviamini mawakala wao ni shauri yao.Hawawezi twika zigo kwa wapiga kura kuwa wakeshe wakilinda kura!