Recent content by mbuzi wa albadir

  1. mbuzi wa albadir

    Dada Shirima wa ustawi wa jamii makao makuu DSM unawakosesha watoto familia

    yaani tumefatilia mpaka mume wangu ananiambie mke wangu tuache tu hili swala labda na hili la kuasili pia hatuna bahati....kiukweli wana jf sisi tusio na bahati ya watoto tunapitia wakati mgumu sana.....yaani kuna wakati unaenda kwenye hizo ofisi zao huku wilayani unaenda kuanza hizi process za...
  2. mbuzi wa albadir

    Dada Shirima wa ustawi wa jamii makao makuu DSM unawakosesha watoto familia

    Habari wana JF, Kuna dada anaitwa Shirima yupo makao makuu pale Dsm ofisi zao zipo pale Kivukoni nyuma ya ghorofa la utumishi. Huyu dada amekuwa mwiba kwa wale ambao wameshindwa kupata mtoto na kuamua KUASILI(ADOPTION)kama umeshawahi kufuatilia KUASILI MTOTO lazima utakuwa unajua hekaheka za...
  3. mbuzi wa albadir

    Mkuu wa Wilaya Rufiji ampiga kibao Mwenyekiti wa kijiji mbele ya wananchi

    wateule wa rais wamekuwa watemi sana siku hizi,mbona zamani hawa wateule walikuwepo na hatukuwa tunasikia haya?!
  4. mbuzi wa albadir

    Lini tutasema sasa Inatosha!

    inasikitisha sana....ila yana mwisho
  5. mbuzi wa albadir

    Rais Magufuli apiga simu zaidi ya mara mbili katikati mwa Fiesta DSM

    nchi ya maajabu....vitu vya kufanya waziri anafanya rais ovyo.....Duh tujiatarishe kuona mengi na kusikia mengi ambayo hatukutarajia...
  6. mbuzi wa albadir

    Hatari ya Raia Kuchangia Ujenzi wa Nyumba za Polisi

    hii ni rushwa ya staili nyingine....mtu anatoa akitarajia feva baadae....
  7. mbuzi wa albadir

    Meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Patel, amehukumiwa miaka 20 jela kwa kukutwa na kucha za simba

    duh....hatari hii inaonyesha wanyama wana thamani kuliko watu.....hii hukumu imenikumbusha faru John,faru ndugai na yule dada yao sijui faru fausta
  8. mbuzi wa albadir

    Totò Riina (Boss of all bosses)

    hivi ndo vitu napenda kusikia...lete nondo mkuu
Back
Top Bottom