Alipoitwa jina sikumwona akijibu kwa kipaza sauti ,ckumwona akienda mbele kupiga kura na wala sikuona akipelekewa karatasi apige kura, nadhani hakupiga kura(I stand to be corrected)
Mkuu mbukoi nadhani unajua jinsi siasa hasa hapo Arusha zinavoendeshwa. Serikali yote ya ccm wanapambana na Lema na wanahakikisha mbunge hatulii akafanya kazi yake vizuri. Tumeshuhudia ukatili ulofanywa na polisi kama mauaji, mabomu na kuwekwa ndani mara kwa mara. Kama kweli wana Arusha mnataka...
Satellite za China hazijaona mabaki eneo hilo, amesema waliyoyaona ndio ni mabaki ila yapo mbali na eneo la tukio kwa sababu ya mawimbi na yaliyoonekana yameshazama
Watu hawamwamini mkuu, si unajua watu walivo, wanakomaa na satellite, amesema picha wanazoziona za satellite si sehemu ilipo maana mabaki yanapelekwa na mawimbi mbali sana
Happening live and direct kwenye Emmanuel.tv. Prophet TB Joshua amesema sehemu ndege iliyoanguka ilipo kuwa ni kati ya bahari ya Hindi na Indonesia kusini.
Boko haram is cult, alisema kijana mustapha umar , aliyedakwa na T B Joshua. Alisema kabla ya kujiunga kuna maneno ya kiarabu yaliandikwa kwenye kikaratasi na kuwekwa kwny maji na kunywa. Alipokunywa tu, akaanza kuona kawaida kuua watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.