Recent content by Mbuzi mee

  1. M

    Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Ndugu umeongea kitu kikubwa sana...me naowajua wengine ni ndugu kabsaa...mpaka najiulizaga ni vigezo gani huwa wanaangalia!!!!!!
  2. M

    Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Sio kwa wale wajinga aisee yaan hata muonekano wao tu ni wezi tosha...kule sio kumtafuta maisha..kule ni ili mradi watu wajue uko nje ya nchi...
  3. M

    Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Kwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k... Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu... Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
  4. M

    Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  5. M

    Rais Trump: 'Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu'

    Kwa hiyo kumbe wanapokuja Afrika kusisitiza tuwe na vyama Vingi ili TULETE MCHANGANYO NA MCHANGANYIKO...sasa mbona basi sisi washapata mwanya...nao Waanzishe CCM B...alafu vingine vifutwe tu
  6. M

    NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kiwanja bado kipo wateja mje...narudia tena hakina dalali muuzaji ni mimi mmiliki...
  7. M

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Nimepitia kuanzia mwanzo mpaka mwisho..Daah marehemu Mungu ailaze roho yako mahali pepa peponi...Kupitia historia yako nimejifunza mengi sana...HASA SUALA LA NDOA NA MIGOGORO YA NDOA. .....
  8. M

    Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Shida iko hapo...yaan ni km mtu anunua gari kwa ajili ya rasilimali ya akiba ya fedha zake wala si kwa ajili ya matumiz yake.
  9. M

    Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Yaan zipo mpaka za cc1900 ila sijui ni nn au uoga bado km wa kipindi cha nyuma kwenye BMW
Back
Top Bottom