Doctor mimi tatizo lango ni presha ya kupanda ambayo imenipata baada ya kutumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume"CUPID"kabla ya hapo ckuwa na tatizo hilo.nimekwenda kupima hospitl majibu yametoka cna kisukari wala lehemu lakini moyo unanisumbua sana
Presha hupanda ghafla lakini hata dakika...
Usimlinganishe Qaarun na Suleiman.Qaarun alikua ni tajiri wakati wa nabii Mussa, Suleiman yeye alipewa unabii, akawa ni mfalme na utajiri wake haujapata kutokea na wala hatatokea binaadam atakaekuja kuneemeashwa kwa neema alizoneemeshwa Suleiman, ndio hata bwana Yesu alimzungumzia nabii Suleiman...
Mtunzi na muimbaji na Franklin Boukaka, ni muimbaji na alikua ni mwanaharakati wa kupigiwa mfano ambae aliuawa wakati wa jaribio liloshindwa huko Congo ya Brazzavile
Aliuawa mwaka 1972 Akiwa na umri wa miaka32.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.