Recent content by mbuyale

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

    kuna sababu nyingi, inaweza kuwa ni tamaa ya mwili ama pesa, kujaribu kwingine kupoje, kulipiza kisasi na kwa sababu ya kuiga kwa sbabu fulani anafanya basi na mimi nikifanya ni kawaida tu.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

    aisee kweli wewe mchunguzi, lakini wengi wanaolewa kwa sababu ya kukimbia vijijini, maisha magumu huko
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    kulingana na maelezo yako na tukio lenyewe, inaonekana hawakupendana isipokuwa mwanamume ndiye aliyependa, na pia inaonekana kuna kulazimishana, kwa hali hiyo atafute njia nzuri ya kuachana ili aishi kwa amani hamna ndoa hapo.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za harusi kwa bwana harusi

    gharama nyingi ndoa hazidumu, siku hizi michango ya harusi ni kama mitaji nafikiri unakumbuka (DECI), lakini usishangae ndio mambo ya kisasa hayo.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini chanzo...

    ni tamaa tu mkuu hakuna kingine, wengine wanasema wanabadili mboga, eti maharage kila siku yanachosha.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini chanzo...

    ni tamaa tu mkuu hakuna kingine, wengine wanasema wanabadili mboga, eti maharae kila siku yanachosha.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njia panda.....wana jf plse

    pole mkuu ndio ukubwa huo, najua maji tayari yameshamwagika naomba tuwasiliane kwa mbuyale@yahoo.com kuna mambo nataka kujua kwa undani kuhusu hilo.
Back
Top Bottom