Umenikumbusha mbali,maeneo hayo kwa route ya kupitia ya barabara kuanzia hapo,bububu hospitali ya jeshi, Mbuzini,kinyasini,njiapanda pongwe ,mafarasi ,kiwengwa ,pale kuna hotel ya Melia,mapenzi hotel,dream of zanziba ,neptune hotel,hatimae pwani mchangani kijijini ambapo nimeishi 2years